Adilinanduguze2
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 1,386
- 1,919
Hi Wadau kuna anaejua hizi Bonds zinafanyaje kazi ?
Faida yake ikoje ?
Nimeona zinaendeshwa na jamaa wa Imaan Finance, na performance yake ni ya kuridhisha
Jee wenzangu na mimi (low class investors) wanaweza wekeza ?