Islamic Dressing

Islamic Dressing

YANI MAMBO YA HOVYO SANA. AISEEE....

HAWA WANAKIWAGA MALAYA SANA WANALIWA KAMA SAMAKI.


MUNGU UWASAMEHE.
 
Kinachochekesha hayo maagizo ya mavazi hayajaandikwa kwenye kuran, ni wivu tu na shida za wanaume wa arabia wakawalazimisha wanawake wavae hivi. Kuna story iliandikwa kuwa huko arabia bora mwanamke afiche uso na kuachia uchi
Na waambie Waumini wanawake wainamishe macho yao na wahifadhi tupu zao, na wala wasidhihirishe mapambo yao isipokuwa yale yanayodhihirika. Na waangushe khimaar (shungi) zao mpaka vifuani mwao, na wasidhihirishe mapambo yao isipokuwa kwa waume zao, au baba zao, au baba za waume wao, au wana wao wa kiume, au wana wa kiume wa waume zao, au kaka zao, au wana wa kiume wa kaka zao, au wana wa kiume wa dada zao, au wanawake wao (wa Kiislamu), au wale iliyowamiliki mikono yao ya kuume, au wafuasi wanaume wasio na matamanio ya jimai miongoni mwa wanaume au watoto ambao hawatambui kitu kuhusu sehemu za siri za wanawake. Na wala wasipige miguu yao yakajulikana yale wanayoyaficha katika mapambo yao. Na tubuni kwa Allaah nyote, enyi Waumini mpate kufaulu. [An-Nuwr: 31.]



Na Amesema:



يَا أَيُّهَا النَّبِيُّ قُل لِّأَزْوَاجِكَ وَبَنَاتِكَ وَنِسَاءِ الْمُؤْمِنِينَ يُدْنِينَ عَلَيْهِنَّ مِن جَلَابِيبِهِنَّ ۚ ذَٰلِكَ أَدْنَىٰ أَن يُعْرَفْنَ فَلَا يُؤْذَيْنَ ۗ وَكَانَ اللَّـهُ غَفُورًا رَّحِيمًا ﴿٥٩﴾

Ee Nabiy! Waambie wake zako, na mabinti zako, na wanawake wa Waumini wajiteremshie jilbaab zao. Hivyo kunapeleka karibu zaidi watambulikane (kwa heshima) wasiudhiwe. Na Allaah daima ni Mwingi wa kughufuria, Mwenye kurehemu. [Al-Ahzaab: 59].
 
FdP1z_fXoAIWsn0.jpg
 
naona mavazi ya tamaduni za kiarabu mmeyafanya ndo mavazi ya dini[emoji1][emoji1][emoji1] ila sio mbaya usipo vaa hvo na kuongea kiarabu allah hasikii sala yako
 
Back
Top Bottom