Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Islamic Jihad imethibitisha kuwa maafisa wake wakuu 15 waliangamizwa na majeshi hodari ya Israel hivyo kuashiria pigo kubwa kwa uongozi wa kundi hilo huko Gaza kwa sasa vita vimeisha na wao viongozi wao wote 15 wamefyekelewa mbali toka vita hivyo vianze Oct 07,2023.
Hii inadhibitisha kuwa Israel ilikuwa inapigana na vikundi vingi vya kigaidi wakiwemo magaidi hawa wa Islamic Jihad
Hii inadhibitisha kuwa Israel ilikuwa inapigana na vikundi vingi vya kigaidi wakiwemo magaidi hawa wa Islamic Jihad