Kwa uongo wa Viongozi wa Simba hawawezi kamwe kutumia hela kuleta kocha/mchezaji wa daraja la juu hapa barani Africa.
Hata ukisikia kuna mchezaji amenunuliwa kuanzia Tshs 400+M situka jua unalishwa chakula cha kuzimu.
Haya yote tunayoyaona ni matokeo ya janja janja ya Nyani ambayo viongozi wamekuwa wakituhadaa kwa uongo uongo.
Binafsi nilifurahishwa na kichapo tulichopokea toka kwa mtani kisicho na konakona maana kimeathiri mashabiki na hao walaghai upande wa biashara zao za jezi, jezi mpya za CAF, viingilio, watu kususia kulipia app za Simba et al kitu kinachoumiza zaidi mioyo yao makanjanja