Tetesi: Ismael sawadogo kuishitaki Simba SC FIFA

Tetesi: Ismael sawadogo kuishitaki Simba SC FIFA

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
Aliyekuwa kiungo wa Klabu ya Simba SC, Ismaël Sawadogo amesema anaelekea Shirikisho la Soka Dunia FIFA kwa ajili ya kuishitaki klabu ya Simba SC kwa kutomlipa stahiki zake.

Klabu ya Simba iliuvunja mkataba wa kiungo huyo na bado anadai stahiki zake za kimkataba.
 
Kwa uongo wa Viongozi wa Simba hawawezi kamwe kutumia hela kuleta kocha/mchezaji wa daraja la juu hapa barani Africa.


Hata ukisikia kuna mchezaji amenunuliwa kuanzia Tshs 400+M situka jua unalishwa chakula cha kuzimu.


Haya yote tunayoyaona ni matokeo ya janja janja ya Nyani ambayo viongozi wamekuwa wakituhadaa kwa uongo uongo.


Binafsi nilifurahishwa na kichapo tulichopokea toka kwa mtani kisicho na konakona maana kimeathiri mashabiki na hao walaghai upande wa biashara zao za jezi, jezi mpya za CAF, viingilio, watu kususia kulipia app za Simba et al kitu kinachoumiza zaidi mioyo yao makanjanja
 
Walikuwa wanatusema sana hawa. Na wenyewe walipe sasa. Siyo kuleta tu janja janja kila mahali.
 
Back
Top Bottom