Nafikiri ni muda muafaka wa kujitokeza tena kutaja mechi nyingine ambazo yanga atapoteana maana ulizotaja zote yanga kaokota point kibabe, ulianza na mtibwa, kmc,geita gold na azam vipi kuna nyingine🤣🤣🤣🤣
Leo katika historia
Rais Nyerere kawafukuza kazi maafisa tisa wa Mamlaka ya Uatawishaji makao makuu(CDA) kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo wizi na ubadhirifu wa mali za mamlaka hiyo, akitangaza taarifa hii kwa niaba ya rais ambaye yuko ziarani nchini China Katibu mkuu kiongozi Bwna Timoth Apiyo aliwataja maafisa hao ni:
1.Feruzi
2.Mruma
3. Moses Kagya
4.Kitonka
5. Morell
6. ISMAIL ADEN RAGE
7. Peter Mavunde -mshehereshaji mashuhuri kwa sasa.
8;
9.
Rage alifukuzwa kwa sababu ya wizi wa furniture za CDA zilizokuwa zinaagizwa Zimbabwe kwa ajili ya Ikulu ya Chamwino wakati huo (1985).
Rage achana na Yanga kabisa.