GE2025 Ismail Jussa alalamikia utozaji Kodi wenye kuumiza Wananchi Zanzibar

GE2025 Ismail Jussa alalamikia utozaji Kodi wenye kuumiza Wananchi Zanzibar

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho ambaye pia ni Meneja wa Kampeni wa Mgombea huyo Ismail Jussa Ladhu, amesema shida kubwa sana ya wananchi kukamuliwa katika kodi mbali mbali hapa Zanzibar ambapo amesema wenye vyombo vya moto wametakiwa wakasajili vyombo vyao na kuendelea kukamuliwa wakati watu ni maskini

Ameyasema hayo huko viwanja vya Avenger Jimbo la Chumbuni wilaya ya Mjini Unguja alipozungunza katika mkutano wa hadhara wa kampeni za chama hicho kuwania urais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa Oktoba, 29 mwaka huu.

Jussa amesema kila gari moja inatakiwa ikasajili upya kwa 80,000 na kila pikipiki wakasajili upya kwa 55,000 kiasi ambacho ni fedha nyingi kwa mwananchi wa kawaida mwenye kutarazak

 
Back
Top Bottom