hapo na pesa alitembeza usikute!System ya Bongo ndugu yako likimpata balaa kama hili na case ikabadirishwa kutoka murder case mpaka manslaughter ushukuru Mungu tu upambane atatoka, maana ikibaki murder ni issue ya mahakama kuu Kwa Jaji.
Huyo ninaamini alikuwa na murder case ndio walipombadirishia shtaka baada ya kusota jela amekubali kosa ndio hukumu ikaja hivyo.
Mnachanganya mambo, kuna mazingira ya trespass ukatandika mtu risasi ni statement yako tu Polisi wanahitaji na ni trespass kweli mpaka ukauwa?halafu kumbe alikuwa na miaka 20 kipindi hiko, aisee vijana Hawa Wana usela mavi sana,
Sheria zetu za hovyo,unaweza ukavamiwa na vibaka kwako,ukifanikiwa kumuua mmoja usishangae ukafungwa wewe , yaani bora wakuue wewe au wakujeruhi nadhani.
nikweli mkuuMnachanganya mambo, kuna mazingira ya trespass ukatandika mtu risasi ni statement yako tu Polisi wanahitaji na ni trespass kweli mpaka ukauwa?
Lakini haya maugomvi yenu bar ya kugombea mwanamke ukiuwa hakuna self defense hapo, ni murder case, mpaka familia yako ipambane ndio ufutiwe murder ushtakiwe Kwa Manslaughter ambayo INA unafuu.
Self defense bado inawalinda watu wanaovamiwa majumbani mwao na siyo kwenye mambo ya pombe, ukiona mtu anakuzinguwa bar ondoka.
Ndo maana tunapaswa kureview sheria zetu.Self defense anafungwaje?
Hujasoma vizuri huyo jamaa ameuwa, hapo ni Wakili wake ameweza kuishawishi tu mahakama ikubali hoja zake.Ndo maana tunapaswa kureview sheria zetu.
Kuna mambo ya aibu sana yasiyo haki yanafanyika kukosesha watu haki.
Sasa huyo angeuwa ingekuwaje
Manslaughter na ameshakaa jela miaka 7, ni hukumu ya haki, jumla miaka 8 hapo atakuwa amejifunza mbunye haigombaniwi.
Mtu anivamie halafu nimuue katika kujitetea ndio iwe manslaughter?System ya Bongo ndugu yako likimpata balaa kama hili na case ikabadirishwa kutoka murder case mpaka manslaughter ushukuru Mungu tu upambane atatoka, maana ikibaki murder ni issue ya mahakama kuu Kwa Jaji.
Huyo ninaamini alikuwa na murder case ndio walipombadirishia shtaka baada ya kusota jela amekubali kosa ndio hukumu ikaja hivyo.
Haya ni mambo ya ajabu kabisa.. kwahiyo ukivamiwa nyumbani kwako halafu ukaua mtu unaenda kupewa manslaughter case?Sheria zetu za hovyo,unaweza ukavamiwa na vibaka kwako,ukifanikiwa kumuua mmoja usishangae ukafungwa wewe , yaani bora wakuue wewe au wakujeruhi nadhani.
Kwahiyo ukiwa umekaa nje ya nyumbani kwako (sehemu ambayo ni mbali na kwako) mtu akakuvamia na kutaka kukupora au kukujeruhi na ukamuwahi ni manslaughter?Mnachanganya mambo, kuna mazingira ya trespass ukatandika mtu risasi ni statement yako tu Polisi wanahitaji na ni trespass kweli mpaka ukauwa?
Lakini haya maugomvi yenu bar ya kugombea mwanamke ukiuwa hakuna self defense hapo, ni murder case, mpaka familia yako ipambane ndio ufutiwe murder ushtakiwe Kwa Manslaughter ambayo INA unafuu.
Self defense bado inawalinda watu wanaovamiwa majumbani mwao na siyo kwenye mambo ya pombe, ukiona mtu anakuzinguwa bar ondoka.
Ukiwchiwa unatimkaKesi za mauji unakaa jela muda mrefu, nafikiri pia Ni kwa usalama wako, maana Kama ukikosekana ushaidi ndani ya mwaka mmoja na ukaachiwa huru, unafikiri ndugu wa marehemu watakuacha hivihivi? ni afadhali wakisikia bado upo gerezani huku kesi ikipigwa kalenda kidogo hasira zinawapungua hata Kama ndugu yao ambae ni marehemu alikuwa teja asiye na msaada kwa familia
Dah!...Ismail Ramadhan, kwenda jela mwaka mmoja, baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumuua mwenzake bila kukusudia wakiwa wanagombania mwanamke.
AseeSystem ya Bongo ndugu yako likimpata balaa kama hili na case ikabadirishwa kutoka murder case mpaka manslaughter ushukuru Mungu tu upambane atatoka, maana ikibaki murder ni issue ya mahakama kuu Kwa Jaji.
Huyo ninaamini alikuwa na murder case ndio walipombadirishia shtaka baada ya kusota jela amekubali kosa ndio hukumu ikaja hivyo.
Asante MamaPoleni wanangu