dinongo
JF-Expert Member
- Jun 25, 2022
- 814
- 1,054
hapo na pesa alitembeza usikute!System ya Bongo ndugu yako likimpata balaa kama hili na case ikabadirishwa kutoka murder case mpaka manslaughter ushukuru Mungu tu upambane atatoka, maana ikibaki murder ni issue ya mahakama kuu Kwa Jaji.
Huyo ninaamini alikuwa na murder case ndio walipombadirishia shtaka baada ya kusota jela amekubali kosa ndio hukumu ikaja hivyo.