Isome barua hii ya kushangaza, kuhuzunisha huenda ni ya kwako uliidondosha

Falsafa yangu naamini kuwa Mapenzi yameleta matatizo mengi katika dunia hii. Laiti kusingekuwa na mapenzi ulimwenguni tungeishi kwa amani, upendo na furaha...

Kwani yote haya si ametuletea Adamu na Eva kula lile tunda. Wasingekula yote haya wala yasingetupata.
 
naomba nimsaidie kujibu huyo mwandikiwa......nashukuru kwa maelezo yako,mimi najitambua kama nina ukimwi hata kabla sijaanza na wewe,
 
Bingwa alikuwa anakula mzigo wakati bibie yuko dayday tena uskute alikuwa akizama chum***i.....
Shenz zake kamshawishi mwenzake anyotoe three mimbaz!!
BY DA WAY 'U MTUNZI MZUURI WA STORI'
 
cloudsssssssss fm the plp statioooooooooooon
 
So touching story.Hizi cycle za wapenzi zitatuua sana
 
dah ... nilijaribu kuchukua nafac ya huyo binti kwa kweli imenishinda na nafac ya huyo jamaa mwingine aliyepewa yote naona ni majuto 2 yasiyokuwa na mjukuu wazee 2meumbwa kutamani ila c kukamilisha tamaa ze2 2jitaidini kutambua ilo na kuwadhamini watupendao
 
Mkuu upo juu sana kwa utunzi wa story,vipi ushaonana na shigongo uenda akakupa page moja kwenye gazeti la amani tupate uondo!
 
Mkuu upo juu sana kwa utunzi wa story,vipi ushaonana na shigongo uenda akakupa page moja kwenye gazeti la amani tupate uondo!

nashangaa story yangu washaipeleka facebook dah watu lol.
 
Falsafa yangu naamini kuwa Mapenzi yameleta matatizo mengi katika dunia hii. Laiti kusingekuwa na mapenzi ulimwenguni tungeishi kwa amani, upendo na furaha...


kakojoe ulale bwana mdogo, bila mapenzi ungekuwepo wewe????!!! eti bila mapenzi tungeishi kwa amani na upendo teh teh teh...
 
Da! Ni darasa tosha big up mwandshi.
 
Mimi ndo nilieokota hii barua jamaa akaninyang'anya akaileta hapa jamvini.
Asante kwa kuwafikishia wanaJAMVI ujumbe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…