Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Falsafa yangu naamini kuwa Mapenzi yameleta matatizo mengi katika dunia hii. Laiti kusingekuwa na mapenzi ulimwenguni tungeishi kwa amani, upendo na furaha...
Falsafa yangu naamini kuwa Mapenzi yameleta matatizo mengi katika dunia hii. Laiti kusingekuwa na mapenzi ulimwenguni tungeishi kwa amani, upendo na furaha...
Kwani yote haya si ametuletea Adamu na Eva kula lile tunda. Wasingekula yote haya wala yasingetupata.