ISOME HII..... UtakuWA UMENISAIDIA MNOOO?

ISOME HII..... UtakuWA UMENISAIDIA MNOOO?

mkuu usipate tabu,wait waliochaguliwa gvt waende wakisharipoti kaa 4 wks then nenda vyuo vya gvt kuna chance zinabaki wazi zinajazwa chuoni, sifa kijana awe na E na S katika matokeo yake.
Nina experience na Marangu TTC, More info ni Pm mkuu
 
Dont worry man wazo la jamaa hapo juu ni bomba pia kuna chuo fulani huko dodoma,kondoa kinaitwa Bustani ada yake cheap sana.
 
Mi hata ningejua nisingekupa hakika yaani<br />
unataka yatima aingie kwenye list ya wanaokopwa mishara yao na serikali kwanini usimpeleke veta<br />
akitoka awe naujuzi wake binafsi badala ya kumalisa shule na kusubiri kufa huku anaidai serikali
<br />
<br />

Unaota ama..jibu gani ulotoa kwa swali rahisi kiasi hiki?
chuo st.aggrey
 
kuna chuo cha ualim cha ROMAN CATHORIC kipo mafinga-iringa ni kizuri na cheap sana in team of cost...jaribu hapo mkuu maana mi kuna dogo wangu amesoma hapo na yupo fit na kishapata ajira tayar.
nipe contact na jina ndugu
 
kuna chuo cha ualim cha ROMAN CATHORIC kipo mafinga-iringa ni kizuri na cheap sana in team of cost...jaribu hapo mkuu maana mi kuna dogo wangu amesoma hapo na yupo fit na kishapata ajira tayar.
mkuu hii imetulia
 
Back
Top Bottom