Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saudi arabia wao wameuziwa vifaa vingi na marekani lakini hawana jeshi bora kama Iran, na pia kwa maana ya uvumilivu na saudia bafo kwa Iran
Ukienda kwenye list ya powerfull military in the world Israel yupo juu kwenye Middle East japo kwa idadi Egypt ndio ina Ndege Nyingi 1,107 Tanzania tunazo 34 za Kirusi na Kichina Muhahaha kama Iran vile...
Israel ina Airfigher Jet 684 na Iran inazo 471 na kwa kuwa zenye Ubora Israel ipo Juu sana kwani pamoja ya kuwa ni za kununua lakini wameshiriki katika Uundwajii wa hizo Ndege na pia wamezimodify kitaalmu zaidi kwa kuziwekea vifaa vya kisasa zaidi ya original yake.. kama rada kifaa cha kuhepesha ndege kukwepa Makombora n.k Ndege nyingi za Iran ni za Kitambo za zingine zimetengenezwa na kukarabatiwa kimagumashi kwa sababu ya vikwazo vya uchumi ila baada ya vikwazo wana pesa nyingi wanaweza ongeza hata maradufu ya walizokuwa nazo. so upande wa Idadi na Ubora Israel ipo Juu..
Israel kwenye Electronic yupo juu anavyombo vya kuzimisha kifaa chochote kinachotumia mawimbi ya radio n.k even kuzima computer mitambo hiyo huwa inakaa kwenye Ndege zipitazo juu sana so akitaka kulipua wanapitisha wanazima kisha wanapitisha Ndege za mashambulizi ndio maana katika plan zao zote hakuna waliyo fail...target...Bado Kwenda Iran tu Hata Marekani anaposema atailinda Iran kwa Makombora ya Israel ni about timing tu kwani Mmarekani anampeleleza Israel na Muisrael naye anampeleleza Mmarekani kuna timing kali sana kwani Marekani ameshategua karibu mara Mbili mpango wa Iran kupigwa mwishowe akasema wazi kuwa Atazitungua Ndege za Israel zikiwa zinaelekea Iran... ili kuondoa mtafaruku Israel Alitulia Muiran akapumua na kujitutumua...
Israel ana Nuclear war head za kutosha Iran Hana hapo ndio Mkubwa huonekana