fuatilia missions za special airforce unit ya Israel inaitwa " the hummer" utajua ubora wa hawa jamaa.
on top of that Israel kwa kupitia vikosi vyake maalum imefanya operesheni kadhaa ndani ya ardhi ya Iran na kufanikiwa, bila ya Iran kujua wala kujibu mapigo.
Kuna hawa jamaa wanaitwa The Kidon, hawa ni elite force commandos wanaotumika kwenye covert operations ambao kazi yao ni kuua adui tu. wakikutaka hawa majamaa hata ukajifiche white house watakumaliza tu.
Pia kuna kundi jingine la makomando linaitwa Sayeret Matkal, hili ni kundi la the most elite commandos wa israel likijumuisha wapiganaji bora kabisa toka vikosi vya majeshi ya Israel, hili naweza fananisha na SAS wa uingereza hawa ni wadudu wa level ya kipekee, kikosi hiki kimeshawahi toa mawaziri wakuu kadhaa wa israel mfano benjamin netanyahu na ehud barak, na komando moja maarufu kabisa la israel anaefahamika kama Muki Bester, hawa jamaa they are realy gifted by God si utani kabisa.