Ndugu sio ushabiki hayo ni mafundisho yao kanisani angalia mchungaji wao maxi anavyotetea mauaji wa wanadamu, nimesema hapo juu as long as anayekufa ni muislamu wanafurahia na hivyo ndivyo wanavyofundishwa kanisani ...hatari kwelikweli
Until invaders get out of Iraq "resistance movement will be a sacred duty of every citizen"
jamani hizo picha zinaonesha watoto wasio na hatia wameuliwa kinyama, hebu acheni ushabiki wa kiimani, wekeni hisia za kibinadamu mbele.pia hakuna aliekatazwa kuweka picha za somali na sudan, huyu kaamua kuweka za palestina sasa kosa lake liko wapi?, hao watoto ni wakimbizi katika ardhi yao.Nakumbuka nyerere alipotaka kuibiwa kipande cha ardhi na iddi amin aliwageuza watu wote majeshi.Hao wapalestina wameibiwa ardhi yao na wanauliwa wake zao na watoto wao namna kama hiyo.Watu hata huruma hamuoneshi, lakini mkiskia jaribio la kulipua ndege la mnaijeria limefeli ,kelele mtindo mmoja hapa JF, tuwekeni ubinadamu mbele, zuri tulisifu na baya tulikemee kwa pamoja.
nawasilisha
Straddler kama wewe ni Mpalestine,nenda ukaishi Palestine.
Hii JF ni kwa watanzania ,wanaojali tanzania na waafrika kwa ujumla.
Mwarabu hathamini mwafrika hata siku moja
The issue of Palestine and Israel is complex. For the Israelis they based their right on historical and religious belief while for Palestinians it is a homeland issue. It is very unfortunate that the world powers supported the reestablishment of a Jewish state to solve their own guilty conscious for doing so little during the exterminations of Jews in the concentration camps. I have visited several of them, it is appalling. The irony of it, and I always ask myself what does it stand for, the writing at the Dachau camp "NEVER AGAIN". Would the survivors and their off spring turn on other people like that. Is peace between the two people of Israel impossible? Definitely neither suicide nor jet bombing creates more hatred. Both have to come to their senses that the reality of today dictates the existence of both. How that has to be solved soonest should be the most important issue else the Palestinians will have no more land to claim! Looking at Clinton's Camp David agreement, I think the Palestinians missed the best opportunity to salvage some of their land.
Whats going on now is on both sides is madness. .
unadhani nani kawauwa? kama si yule mwenye nao kutoachana na mapigano? usisubiri nyumba ibomoke badala ya kuziba ubukuta, hivi ni nani achokozaye nyuki harafu zivamie nyumba na kuwavimbisha wanae harafu akilaumiwa, alalamike hebu angalieni wanangu walivyo vimba? Zika mawazo yako Mfu ya kuiona Israeli Kama korofijamani hizo picha zinaonesha watoto wasio na hatia wameuliwa kinyama, hebu acheni ushabiki wa kiimani, wekeni hisia za kibinadamu mbele.pia hakuna aliekatazwa kuweka picha za somali na sudan, huyu kaamua kuweka za palestina sasa kosa lake liko wapi?, hao watoto ni wakimbizi katika ardhi yao.Nakumbuka nyerere alipotaka kuibiwa kipande cha ardhi na iddi amin aliwageuza watu wote majeshi.Hao wapalestina wameibiwa ardhi yao na wanauliwa wake zao na watoto wao namna kama hiyo.Watu hata huruma hamuoneshi, lakini mkiskia jaribio la kulipua ndege la mnaijeria limefeli ,kelele mtindo mmoja hapa JF, tuwekeni ubinadamu mbele, zuri tulisifu na baya tulikemee kwa pamoja.
nawasilisha
una mawazo mfu weye, kwani kwa kuwa wanathaminiwa au kiroho ngumu? kuthaminiwa unakujua weye au unaropoka tu? Mbona serikali ya Tanzani haityhamini wananchi na bado upo tu, lipi jepesi kutothaminiwa ugenini au kutothaniwa nyumbani kwako na nduguzo?Nchi yetu imekaliwa na Waisrael... Kwa hiyo sina kwetu.
Kuhusu suala la Mwarabu kutomthamini Mwafrika... Waafrika wamejaa sana huko uarabuni, kama hawathaminiwi wanafanya nini huko? au na wao hawana kwao?
Mkuu Mmakonde acha ubaguzi wako wewe Binadamu wote ni nduguStraddler kama wewe ni Mpalestine,nenda ukaishi Palestine.
Hii JF ni kwa watanzania ,wanaojali tanzania na waafrika kwa ujumla.
Mwarabu hathamini mwafrika hata siku moja
Watoto wanaokufa baghdad na kwingine kwa kujitoa mhaga hawa waarabu mnawaweka kundi gani wanafiki nyie?jamani hizo picha zinaonesha watoto wasio na hatia wameuliwa kinyama, hebu acheni ushabiki wa kiimani, wekeni hisia za kibinadamu mbele.pia hakuna aliekatazwa kuweka picha za somali na sudan, huyu kaamua kuweka za palestina sasa kosa lake liko wapi?, hao watoto ni wakimbizi katika ardhi yao.Nakumbuka nyerere alipotaka kuibiwa kipande cha ardhi na iddi amin aliwageuza watu wote majeshi.Hao wapalestina wameibiwa ardhi yao na wanauliwa wake zao na watoto wao namna kama hiyo.Watu hata huruma hamuoneshi, lakini mkiskia jaribio la kulipua ndege la mnaijeria limefeli ,kelele mtindo mmoja hapa JF, tuwekeni ubinadamu mbele, zuri tulisifu na baya tulikemee kwa pamoja.
nawasilisha
Straddler kama wewe ni Mpalestine,nenda ukaishi Palestine.
Hii JF ni kwa watanzania ,wanaojali tanzania na waafrika kwa ujumla.
Mwarabu hathamini mwafrika hata siku moja
So do you agree that Arabs are crazy and they do stupidity things too?Dont involve God in Human's crazy, stupid and animalistic doings.π
God gave humans brains so that he can use them, and not to turn them into furniture.
So do you agree that Arabs are crazy and they do stupidity things too?