ISRAEL- Are they Animals or Humans?

ISRAEL- Are they Animals or Humans?

Ndugu sio ushabiki hayo ni mafundisho yao kanisani angalia mchungaji wao maxi anavyotetea mauaji wa wanadamu, nimesema hapo juu as long as anayekufa ni muislamu wanafurahia na hivyo ndivyo wanavyofundishwa kanisani ...hatari kwelikweli

Ina maana hawana habari kwamba 30% ya Wapalestina ni Wakristo ( Christian Arabs) ??????
 
I started this forum, because, one of my ancestors is Palestinian.. I have Palestinian blood.

To sum it up....

Palestinian war, is not a religious war... It is a LAND WAR... We want our land back...we dont want to be refered to as " State-less people" . Israel does not exist.. It is a fictitious country.

So please, Guys, if you dont mind, this muslims/christians/jewish bussines keep it to yourselves. We are not interested.
😡
 
Straddler kama wewe ni Mpalestine,nenda ukaishi Palestine.
Hii JF ni kwa watanzania ,wanaojali tanzania na waafrika kwa ujumla.

Mwarabu hathamini mwafrika hata siku moja
 
jamani hizo picha zinaonesha watoto wasio na hatia wameuliwa kinyama, hebu acheni ushabiki wa kiimani, wekeni hisia za kibinadamu mbele.pia hakuna aliekatazwa kuweka picha za somali na sudan, huyu kaamua kuweka za palestina sasa kosa lake liko wapi?, hao watoto ni wakimbizi katika ardhi yao.Nakumbuka nyerere alipotaka kuibiwa kipande cha ardhi na iddi amin aliwageuza watu wote majeshi.Hao wapalestina wameibiwa ardhi yao na wanauliwa wake zao na watoto wao namna kama hiyo.Watu hata huruma hamuoneshi, lakini mkiskia jaribio la kulipua ndege la mnaijeria limefeli ,kelele mtindo mmoja hapa JF, tuwekeni ubinadamu mbele, zuri tulisifu na baya tulikemee kwa pamoja.
nawasilisha

waweke na za vijana na watoto wa kiisraeli waliouliwa na hamas na contracted suicide bomber. Hizo picha zipo hapo kwa sababu Hamas ikiona Israel imetulia wanaenda kuwachokoa ili wapate kisingizio cha kulilia. Hamas huanza, Israel hulitalliate-tupeni na za watoto wa Israeli na weusi wenzetu wa darfur wanaoteswa kila siku na waarabu.

Ikiwa hamwezi kuzionyesha nyamazeni kimya, ujinga wenu tumeuchoka. kama siyo dini what motivates you to show as Arabs Vs Israel ambao ni dini tofauti na hatuonyeshi Black Darfurian Vs Arabs who are all Muslims?

Kwa issue ya Darfur your religion stinks - upholds racism and terrorism. and so do you too.
 
Straddler kama wewe ni Mpalestine,nenda ukaishi Palestine.
Hii JF ni kwa watanzania ,wanaojali tanzania na waafrika kwa ujumla.

Mwarabu hathamini mwafrika hata siku moja

Nchi yetu imekaliwa na Waisrael... Kwa hiyo sina kwetu.

Kuhusu suala la Mwarabu kutomthamini Mwafrika... Waafrika wamejaa sana huko uarabuni, kama hawathaminiwi wanafanya nini huko? au na wao hawana kwao?
 
The issue of Palestine and Israel is complex. For the Israelis they based their right on historical and religious belief while for Palestinians it is a homeland issue. It is very unfortunate that the world powers supported the reestablishment of a Jewish state to solve their own guilty conscious for doing so little during the exterminations of Jews in the concentration camps. I have visited several of them, it is appalling. The irony of it, and I always ask myself what does it stand for, the writing at the Dachau camp "NEVER AGAIN". Would the survivors and their off spring turn on other people like that. Is peace between the two people of Israel impossible? Definitely neither suicide nor jet bombing creates more hatred. Both have to come to their senses that the reality of today dictates the existence of both. How that has to be solved soonest should be the most important issue else the Palestinians will have no more land to claim! Looking at Clinton's Camp David agreement, I think the Palestinians missed the best opportunity to salvage some of their land.
Whats going on now is on both sides is madness. Hitler must be laughing in his grave for getting such perfect students perfecting where he couldn't.
 
The issue of Palestine and Israel is complex. For the Israelis they based their right on historical and religious belief while for Palestinians it is a homeland issue. It is very unfortunate that the world powers supported the reestablishment of a Jewish state to solve their own guilty conscious for doing so little during the exterminations of Jews in the concentration camps. I have visited several of them, it is appalling. The irony of it, and I always ask myself what does it stand for, the writing at the Dachau camp "NEVER AGAIN". Would the survivors and their off spring turn on other people like that. Is peace between the two people of Israel impossible? Definitely neither suicide nor jet bombing creates more hatred. Both have to come to their senses that the reality of today dictates the existence of both. How that has to be solved soonest should be the most important issue else the Palestinians will have no more land to claim! Looking at Clinton's Camp David agreement, I think the Palestinians missed the best opportunity to salvage some of their land.
Whats going on now is on both sides is madness. .

I agree with most of your analysis but Palestinians missed the best opportunity at Camp David?
Israel and the Clinton machine led the world to believe it was the Palestinians' fault to reject the "generous offer" but we all know that Barak never intended on offering a free, sovereign, and contiguous Palestinian state, but undivided Jerusalem and a demilitarized Palestinian state, with Israeli control of borders and their air space. If anyone believes this can fly, even as a stating point then they are delusional.
How about 2002 Arab iniative peace plan?

'Barak was too slow to grasp the centrality of the issue of Jerusalem at this conference and was therefore unprepared for the far reaching concessions that were required.Nor were Barak's bargaining positions on the territorial issue reasonable enough to be seen by the Palestinians as credible.To start as he did, with a proposal of a Palestinian State on 66% of the West Bank in order to later offer at Camp David 87% and not reject out of hand Clinton's proposals at the summit of 91% was an indication to the Palestinians that he did not really have red lines.' from "Scars of War, Wounds of Peace" by Barak's FM Schlomo Ben Ami

¬K
 
jamani hizo picha zinaonesha watoto wasio na hatia wameuliwa kinyama, hebu acheni ushabiki wa kiimani, wekeni hisia za kibinadamu mbele.pia hakuna aliekatazwa kuweka picha za somali na sudan, huyu kaamua kuweka za palestina sasa kosa lake liko wapi?, hao watoto ni wakimbizi katika ardhi yao.Nakumbuka nyerere alipotaka kuibiwa kipande cha ardhi na iddi amin aliwageuza watu wote majeshi.Hao wapalestina wameibiwa ardhi yao na wanauliwa wake zao na watoto wao namna kama hiyo.Watu hata huruma hamuoneshi, lakini mkiskia jaribio la kulipua ndege la mnaijeria limefeli ,kelele mtindo mmoja hapa JF, tuwekeni ubinadamu mbele, zuri tulisifu na baya tulikemee kwa pamoja.
nawasilisha
unadhani nani kawauwa? kama si yule mwenye nao kutoachana na mapigano? usisubiri nyumba ibomoke badala ya kuziba ubukuta, hivi ni nani achokozaye nyuki harafu zivamie nyumba na kuwavimbisha wanae harafu akilaumiwa, alalamike hebu angalieni wanangu walivyo vimba? Zika mawazo yako Mfu ya kuiona Israeli Kama korofi
 
Nchi yetu imekaliwa na Waisrael... Kwa hiyo sina kwetu.

Kuhusu suala la Mwarabu kutomthamini Mwafrika... Waafrika wamejaa sana huko uarabuni, kama hawathaminiwi wanafanya nini huko? au na wao hawana kwao?
una mawazo mfu weye, kwani kwa kuwa wanathaminiwa au kiroho ngumu? kuthaminiwa unakujua weye au unaropoka tu? Mbona serikali ya Tanzani haityhamini wananchi na bado upo tu, lipi jepesi kutothaminiwa ugenini au kutothaniwa nyumbani kwako na nduguzo?
 
Straddler na mwenzake Tumaini,hawazajungumzia mauaji ya jana ,huko Iraq na Pakistani Waislamu (sunni) dhidi ya waislamu(Shiite)
Ni stupidity ya imani hizi,hakuna nchi yoyote ya kiislamu iliyocondemn mauaji haya.
Ni rahisi hawa waislamu 2 watanzania kupost picha hizo hapa,lakini hawawezi kuzungumzia kuchinjana wao kwa wao.Labda wangepost picha hizi hapa
 
watoto ni wahanga katika vita yoyote ile,"collateral damage", haiko special kwa wapalestina tu
 
jamani hizo picha zinaonesha watoto wasio na hatia wameuliwa kinyama, hebu acheni ushabiki wa kiimani, wekeni hisia za kibinadamu mbele.pia hakuna aliekatazwa kuweka picha za somali na sudan, huyu kaamua kuweka za palestina sasa kosa lake liko wapi?, hao watoto ni wakimbizi katika ardhi yao.Nakumbuka nyerere alipotaka kuibiwa kipande cha ardhi na iddi amin aliwageuza watu wote majeshi.Hao wapalestina wameibiwa ardhi yao na wanauliwa wake zao na watoto wao namna kama hiyo.Watu hata huruma hamuoneshi, lakini mkiskia jaribio la kulipua ndege la mnaijeria limefeli ,kelele mtindo mmoja hapa JF, tuwekeni ubinadamu mbele, zuri tulisifu na baya tulikemee kwa pamoja.
nawasilisha
Watoto wanaokufa baghdad na kwingine kwa kujitoa mhaga hawa waarabu mnawaweka kundi gani wanafiki nyie?
Akiua myahudi kosa akiua mwarabu sawa. Si ni unafiki tupu?
Wacha wafe.
 
Straddler kama wewe ni Mpalestine,nenda ukaishi Palestine.
Hii JF ni kwa watanzania ,wanaojali tanzania na waafrika kwa ujumla.

Mwarabu hathamini mwafrika hata siku moja

"...I detest racialism, because I regard it as a barbaric thing, whether it comes from a black man or white man..." -Nelson Mandela.

I think Mmakonde is a black racist.
 
They are chosen by god to do so whatever they are doing is blessed, if i was chosen t write the bibble i was to say tanzanian are the chosen the rest are gentiles.
 
Tribe of war, chosen by God there is nothing you can do abt it.
 
Dont involve God in Human's crazy, stupid and animalistic doings.🙁

God gave humans brains so that he can use them, and not to turn them into furniture.
 
So do you agree that Arabs are crazy and they do stupidity things too?
 
In a way... Yes.

Crazy.... Balmy as a bowl of nuts.
Not only arabs who are crazy, but also Israelis.

Myself, you, Mmakonde ..are also crazy for wasting time discussing other peoples wars...🙂
As if we dont have any important things to do..
 
Back
Top Bottom