Israel haijawahi kuvamia/Kuchokoza nchi yoyote duniani!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Kumekuwa na dhana potofu zinazoenezwa na Wafuga Midevu na Majini wakiongozwa na Mzee wa UHARO Ritz na mjinga mwenzako zitto junior wakidai kuwa Israel ni wachokozi na wanavamia nchi zingine.

Nami nimeamua leo kuwapa ukweli kuwa Israel haijawahi kuichokoza/kuishambulia nchi yoyote duniani. Nchi zote zlizopigana na Israel zilianza zenyewe kuishambulia nchi hiyo hivyo kujikuta Zinapigwa Kama Ngoma na Majeshi ya Israel.

Na Kama wajinga hawa hawaamini maneno yangu walete hapa Ushahidi kuonyesha Israel ilishambulia nchi Fulani bila kosa!!!

Hapa chini Nimekuwekea nchi au vikundi vya kigaidi waliotaka kujipigania nguvu na wana wa Israel cha kufurahisha wote waliangukia Pua!!!!!
 
Labda
 
Mkuu hawawezi kukuelewa ila ni ivo tu acha awapasue wachokozi wote.
 
Acha upotoshaji we darasa la saba. Kwenye hiyo six day war, Israel ndio iliishambulia kwanza Misri kwa kulipua ndege zake.

Ushahidi huu hapa;
Israel attacked Egypt first in two major historical conflicts: the Six-Day War in June 1967 and the Suez Crisis in October 1956.

The war began on June 5, 1967, when Israeli airplanes attacked the Egyptian air force and destroyed many airfields

Source: https://2001-2009.state.gov/r/pa/ho/time/ea/97187.htm
 
Mkuu hawawezi kukuelewa ila ni ivo tu acha awapasue wachokozi wote.
Acha kushabikia ujinga, Israel ina support waasi wa RSF kuipiga serikali ya Sudan je hao Sudan wamewakosea ni Israel?

Israel pia ilivamia Syria baada ya Al Jolani kushika madaraka. Je Syria ilikua imewakosea nini Israel?

Israel pia ina support magaidi wa PKK kupambana na serikali ya uturuki. Je uturuki wamewakosea nini?
 
unajua kuna watu huwaona Waisrael kama malaika, na hiyo huwafanya wakose uwezo wa kutumia akili
Hata Waisrael wakifanya maamuzi mabovu kabisa yanayopelekea kuuwa watu wasio na hatia, wao hupiga makofi
NIWAKUMBUSHE TENA; YEYOTE ANAYESHABIKIA KUUA NAFSI NI WAKALA WA SHETANI BILA YEYE KUJIJUA
BIBILIA ILISHATUONYA KUWA, MAWAKALA WA SHETANI WATAKUJA KULIA NA KUSAGA MENO!!!
 
Hapa chini Nimekuwekea nchi au vikundi vya kigaidi waliotaka kujipigania nguvu na wana wa Israel cha kufurahisha wote waliangukia Pua!!!!!
Acha uongo hiyi 2008 Saudi Arabia ilipigwa wapi na Israel? Naona kuanzia 1987 unasema Saudi ilipagana na Israel na ikapigwa? Ni vita gani hiyo waliopigwa? Unaweza ukaweka ushahidi hapa.
 
Hakuna uhalisia wowote kwenye madai Yako isipokuwa umeamua kuchagua mrengo na sio kufuatilia mambo Kwa undani.
 
Hakuna uhalisia wowote kwenye madai Yako isipokuwa umeamua kuchagua mrengo na sio kufuatilia mambo Kwa undani.
Uhalisia? Nakuwekea vyanzo vya kuaminika.
1. Hii ni jana tu Israel imevamia vijiji vya Syria na imekua ikishambulia tokea mwaka jana. Sasa niambie Al Jolani ambaye ni Pro-israel kawakosea nini Israel?

2. Israel inavyosupport SDF/PKK huko Syria ambazo zinapambana na uturuki kwa kufanya mashambulizi ya kigaidi.
Chanzo ni credible media ya Israel

3. Israel kusupport RSF
Kama unavyojua Israel imewapa UAE wanajeshi na air defences. In turn UAE inachukua silaha hizo za myahudi na kuwapa RSF unaweza ona hapa.

Ushahidi zaidi

Kwahiyo haya mambo yako wazi wala sio maoni binafsi ni FACTS. Hata hao SNM ni kikundi cha kigaidi huko somalilanda so kitendo cha Israel kutambua uhuru wa somaliland ni kuunga mkono ugaidi.
 
kwann Israel hajawai ishambulia Egypt baada ya kusaini makubaliano ya amani?
 
Acha ujinga wewe hiyo link-Uchwara imeandikwa lini?

Je wajua nini maana ta ** PREEMPTIVE-STRIKE?** Nenda kajifunze kwanza ukishajua maana yake ndipo uje hapa kubwabwaja.

Misri na nchi zingine za kiarabu zilikuwa zimejiandaa kikamilifu kuivamia Israel na kuiangamiza wakiwa kwenye mipango hiyo ndipo PREEMPTIVE-STRIKE ikafanyika na si kweli unavyodai wewe!!!

Kwa akili ya chuo kikuu ulitaka Israel wabweteke tu? Au ulitaka Israel wakinge tu kichwa wanyolewe?.

Israel haijawahi kuvamia nchi yoyote wala kuichokoza nchi yoyote bila sababu yoyote ile??
 
Misri na nchi zingine za kiarabu zilikuwa zimejiandaa kikamilifu kuivamia Israel na kuiangamiza wakiwa kwenye mipango hiyo ndipo PREEMPTIVE-STRIKE ikafanyika na si kweli unavyodai wewe!!!
Acha kubadilisha maneno, umesema hakuna nchi Israel imevamia kwa uonevu sahivi tena unadai ni pre-emptive strike sasa si yale yale.

Nimekupa mfano wa Israel kuvamia na kuteka vijiji vya Syria tokea 2025. Sasa naomba niambie tokea lini Rais Al Sharaa ambaye ni kibaraka wa marekani alipanga kuvamia Israel hadi afanyiwe pre-emptive strike. Na kwanini hajashambulia askari wa Syria ila anateka na kuchukua vijiji vya Syria? Uvamizi na pre-emptive strike ni vitu viwili tofauti kabisa. Kuna threat gani kutoka vijiji vya Syria?

Jibu hili specifically la Syria tu.

Ukimaliza ntakuuliza kuhusu Suez Crisis, maana unatoa majibu ya jumla jumla tu sasa nataka twende kwenye specifics na tafadhali usikimbie.
 
Acha kubadilisha maneno, umesema hakuna nchi Israel imevamia kwa uonevu sahivi tena unadai ni pre-emptive strike sasa si yale yale.
Kwa akili Yako ya chuo cha ufundi Preemptive-Strike ni kuvamia kwa uonevu!!! Rudi shule ukasome!!!!
 
Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime wala tusiingilie ugomvi usiotuhusu. siye yetu macho. Hii vita haiishi hadi iishe. tulieni hivyo hivyo. anapiga kelele ujue yamemfika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…