Israel hits Gaza from land, sea and air as Hamas halts talks killing 92 people

Israel hits Gaza from land, sea and air as Hamas halts talks killing 92 people

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Kuna watu humu wanasema hamas/Palestina ni mashujaa.. Sidhani kama kuna sense katika usemi huo wakati watu wanateketea kama si binadamu. Why not release hostages and look for a new alternative to your demands!

Israel hammered the Gaza Strip from the air, sea and land Monday as the war in the Palestinian territory showed no sign of abating, with Hamas saying it was pulling out of truce talks.

Shells rained down on the neighbourhoods of Tal Al-Hawa, Sheikh Ajlin and Al-Sabra in Gaza City,

Paramedics from the Palestinian Red Crescent said they had retrieved the bodies of five people, including three children, after Israeli air strikes in the Al-Maghazi camp, also in the central Gaza Strip.


The decision followed an Israeli strike targeting the head of Hamas's military wing, Mohammed Deif, which the health ministry in Hamas-run Gaza said killed 92 people

Hamas achilia mateka was ki Israel muanze ukurasa mpya!

Hii si sawa kuua watu wasio an hatia.

From yahoo
 
Kama israel ni mbabe akawachukue mwenyewe hao mateka!
Hataki akose sababu za kuwachapa hao magaidi katika Umoja wa mataifa,

Hili kipengele anaweza vizuri sana kuwapata mateka tena fasta, ila, hiyo ameiweka iwe hivi kwa muda mrefu ili achakaze sawasawa hawa magaidi na kutimiza lemgo lake,

Wakati wewe ukiona hana uwezo wa kuokoa mateka, yeye anaona mbaali sana kuliko hayo mawazo yako
 
Ndio ni mbabe kama alivyookoa mateka wanne wakafa wapalestina 270
Ukisikia biashara kichaa ndo hiyo. Unanyang'anywa 4 uliosema ni nyara wakiwa hai, unaachiwa malipo mizoga 270 ya ndugu zako. Kwanini HAMAS hawaioni hiyo hasara kubwa wanayoisababisha kwa raia wa Kipalestina???
 
Back
Top Bottom