Israel ikimaliza Palestine itavamia na nchi Jirani

Israel ikimaliza Palestine itavamia na nchi Jirani

Jokajeusi

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2018
Posts
6,323
Reaction score
10,813
Kwema wakuu.

Palestine wametepeta, wameshakubali yaishe. Miaka Saba ijayo nchi yote itakuwa imekaliwa na Simba wa yuda

Kuwaonea huruma Palestine ni kupoteza muda, kwani watu wanaopigana nao ni watu wasiosikia la mtu, wao atakaye jichanganya ni kipigo tuu

Baada ya Israel kuidhibiti kabisa Palestine na kuwafurusha iwe Kwa kuwaua au kuwafukuza, kazi itakayofuata ni kuvamia mataifa mengine ya kiarabu yalipo Jirani.

Mambo haya yatatukia miaka ya hivi karibuni.


Waarabu watakimbilia zaidi upande wa Kusini lilipo Bara la Afrika, Kwa Wale waliosoma na wenye vipato watakimbilia ulaya, Mashariki ya mbali na Nchi za America.

Afrika itakumbwa na ugeni kutoka Kwa nchi za jamii ya kiarabu, zilizokimbia vita Kwa kiasi kikubwa

Afrika pia itakimbiliwa na Nchi za India na uchina kutokana na ongezeko la watu lililopitiliza katika mataifa hayo.

Nchi za Uarabuni zitaendelea kughasiwa na Israel na kufurushwa Kwa msaada wa mataifa ya magharibi.

Hii ni kusema, mataifa ya magharibi yatazidi kuweka makazi yake nchi za Mashariki ya Kati.

Watu wengi wataona hii ni hadithi ya kubuni lakini muda utaongea.

Palestine imeshakwisha, kituo kinachofuata ni wapi??

Jokajeusi
 
Hao Waarab, Wachina na Wahindi, waje tu Afrika ili tuwaoe! Hakuna namna. Huenda vichomi vya kwa Mpalange, vikapungua.
Akili za ngozi nyeusi. Ni ngono tu. Thubutu watawagongea dada zenu na kuwa na vitoto chotara vinavyozungumza kisukuma.
 
Waambieni HAMAS waache kuanzisha vita na wakipigwa wanapiga mayowe. Mbona wa Filist upande wa Abbas hawana vurugu sana na Israel ?! Kwanini ni Gaza tu ?!
 
Utabiri wa biblia umekuwa utabiri wako?[emoji1787][emoji1787]



Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Waambieni HAMAS waache kuanzisha vita na wakipigwa wanapiga mayowe. Mbona wa Filist upande wa Abbas hawana vurugu sana na Israel ?! Kwanini ni Gaza tu ?!
Waarabu badala ya kuwasaidia wapalestina kwa kuwapelekea makomandoo wao wanapeleka silaha tu Tena kwa kujificha.
Mbona Kenya na Uganda na Burundi walipeleka majeshi Somalia?
Sasa hivi ukiangalia vyombo vya habari vya waarabu Ni lawama tu dhidi ya magabachori ziraeeli
 
Back
Top Bottom