Habari kwa vyombo vya habari | Vikosi vya Al-Qassam vinafichua kukamatwa kwa kamanda wa Brigedi ya Kusini katika Kitengo cha Gaza, Assaf Hamami, zaidi ya miezi 5 baada ya jeshi linalokalia kutangaza kumuua na kumfanyia mazishi ya mfano.Kwahiyo hiyo video ya uongo!?
Leta yako ya kweli.
We dogo kumbe akili zako finyu sana kuna mtu alikuwepo kama Namruti na Firauni? Huyu bibi yenu Netanyahu ndio siku zao za mwisho.Ila kwa wakati huu kama ni kichapo kwa Wapalestina wamepigwa daa!! Yale maneno ya Netanyau kuwa anataka atoe onyo hata kwa Hamas walioko tumboni waiogope Israel, anayatekeleza!! Na dunia imemuacha tu israel afanye atakavyo,
kwahiyo wamemuonyesha ili auawe kikwelikweli sasa, right?🐒Wanaukumbi.
Serikali ya Israel ilitangaza kuwa kamanda wa ngazi ya juu Asaf Hamami amefariki na kumfanyia mazishi ya jeneza tupu.
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na mkewe Sara, walifanya ziara ya rambirambi kwa familia ya Kanali Asaf Hamami, kamanda wa Brigedi ya Kusini huko Gaza, iliyoanguka tarehe 7 Oktoba.
Israel wanawadanganya raia wake.
Hamas inafichua kwamba israel inalala kwa watu wake, kwenye video hapa chini walishiriki kwamba Asaf Hamimi alijeruhiwa tarehe 7 Oktoba na alichukuliwa mateka hadi Gaza.
Hata hivyo israel ‘IDF’ ilitangaza kuwa amefariki miezi 2 baada ya Oktoba 7 na hata kumfanyia mazishi.
Walidanganya.
View: https://x.com/hoaxvstruths/status/1793701450880831965?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hamas wamevuruga kabisa baada ya kuonyesha hayo mazishi ya uongo Hamas wakatoa video ya mateka ambayo yupo hai.
View: https://x.com/suppressednws/status/1793648636900827494?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Si walitaka ugaidi. Wacha wapigwe kama ngoma.Ila kwa wakati huu kama ni kichapo kwa Wapalestina wamepigwa daa!! Yale maneno ya Netanyau kuwa anataka atoe onyo hata kwa Hamas walioko tumboni waiogope Israel, anayatekeleza!! Na dunia imemuacha tu israel afanye atakavyo,
We ulikuwepo kaburini ukaona kaburi i wazi? We utakufa maskini mpumbavu, kaazime ht akili kdg we bwege.Wanaukumbi.
Serikali ya Israel ilitangaza kuwa kamanda wa ngazi ya juu Asaf Hamami amefariki na kumfanyia mazishi ya jeneza tupu.
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na mkewe Sara, walifanya ziara ya rambirambi kwa familia ya Kanali Asaf Hamami, kamanda wa Brigedi ya Kusini huko Gaza, iliyoanguka tarehe 7 Oktoba.
Israel wanawadanganya raia wake.
Hamas inafichua kwamba israel inalala kwa watu wake, kwenye video hapa chini walishiriki kwamba Asaf Hamimi alijeruhiwa tarehe 7 Oktoba na alichukuliwa mateka hadi Gaza.
Hata hivyo israel ‘IDF’ ilitangaza kuwa amefariki miezi 2 baada ya Oktoba 7 na hata kumfanyia mazishi.
Walidanganya.
View: https://x.com/hoaxvstruths/status/1793701450880831965?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hamas wamevuruga kabisa baada ya kuonyesha hayo mazishi ya uongo Hamas wakatoa video ya mateka ambayo yupo hai.
View: https://x.com/suppressednws/status/1793648636900827494?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Wajulishe walipo hao HAMAS, hao waoga wanaojificha katikati ya wagonjwa? Wanaochukua chakula cha msaada? We una bahati mbaya sana hapa duniani, unashabikia mizimu?Jamaa wameshindwa kupambana na Hamas wamehamua kuwadanganya raia wao cha ajabu walolole wetu wa JF nao wanadanganywa lakini hawakubali😀
Angalia hii siyo mchezo.We dogo kumbe akili zako finyu sana kuna mtu alikuwepo kama Namruti na Firauni? Huyu bibi yenu Netanyahu ndio siku zao za mwisho.
Mungu anapo taka kuliangusha taifa au kiongozi huwa analiwacha lifanye ubabe we afu analitobao tu, wakristo wekeni maji kichwani taifa la mungu fake wenu litapotea karibuni.
Mwanajeshi wa Israel aliona mlango wa handaki huko Gaza. Tazama kilichofuataWajulishe walipo hao HAMAS, hao waoga wanaojificha katikati ya wagonjwa? Wanaochukua chakula cha msaada? We una bahati mbaya sana hapa duniani, unashabikia mizimu?
Kwa pale mashariki ya kati kwa miaka yote Israel kwa sasa amepitia kipindi kigumu sana katika historia yake na Kuna mambo kama hiii vita itaisha yatabadilika sana pale mashariki ya kati ni Suala la muda tuNi kweli idadi halisi ya vifo imefichwa.
Ila kuna ripoti Haaretz chombo cha habari cha Tel Aviv kilisema idadi ya vifo vya IDF soldiers ni zaidi ya 5k/5000 ila wanajeshi waliopata ulemavu wa kudumu yani forever crippled ni 5000+.
Haikuwahi tokea hii hata vita ya Lebanon 2006 IDF haikupata hasara hivi.
Ndio maana wadau wanadai lazima IRGC inahusika na huwenda hata IRGC ilipenyeza askari wake.
Hata kama Israeli ikipotea leo lakini imetoa fundisho la kudumu kwa wahuni!! Kwani kipindi kile hamas wamevamia israel, Gaza yote ilishangilia na kuwaona mashujaa, sasa leo ni kilio tu, na na mji wa Gaza sasa umekuwa kama ule mji wa sodoma na gomola!! Yaani hata sasa Hamas wakubali matakwa ya Israel ya kuwaachia mateka ili vita iishe, bado wamepata hasara sana, japo Hamas ni kichwa ngumu ila kama hata sasa Israel akisitisha vita, hawatarudia tena kufanya walichokifanya oct 7!!Sasa anajipigia tu anavyotaka, hesbora nao cwaoni tena, wale wahouth wa yemen cwasikiii tena!! Nani ajitokeza "CHIZI KABEBA MJEGEJO"We dogo kumbe akili zako finyu sana kuna mtu alikuwepo kama Namruti na Firauni? Huyu bibi yenu Netanyahu ndio siku zao za mwisho.
Mungu anapo taka kuliangusha taifa au kiongozi huwa analiwacha lifanye ubabe we afu analitobao tu, wakristo wekeni maji kichwani taifa la mungu fake wenu litapotea karibuni.
Hii video mbona haioneshi kituWanaukumbi.
Serikali ya Israel ilitangaza kuwa kamanda wa ngazi ya juu Asaf Hamami amefariki na kumfanyia mazishi ya jeneza tupu.
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na mkewe Sara, walifanya ziara ya rambirambi kwa familia ya Kanali Asaf Hamami, kamanda wa Brigedi ya Kusini huko Gaza, iliyoanguka tarehe 7 Oktoba.
Israel wanawadanganya raia wake.
Hamas inafichua kwamba israel inalala kwa watu wake, kwenye video hapa chini walishiriki kwamba Asaf Hamimi alijeruhiwa tarehe 7 Oktoba na alichukuliwa mateka hadi Gaza.
Hata hivyo israel ‘IDF’ ilitangaza kuwa amefariki miezi 2 baada ya Oktoba 7 na hata kumfanyia mazishi.
Walidanganya.
View: https://x.com/hoaxvstruths/status/1793701450880831965?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Hamas wamevuruga kabisa baada ya kuonyesha hayo mazishi ya uongo Hamas wakatoa video ya mateka ambayo yupo hai.
View: https://x.com/suppressednws/status/1793648636900827494?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Leo wamepigika haswa wananza bembeleza mazungumzo ili watoke Gaza salama.Angalia hii siyo mchezo.
Angalia hiii.Leo wamepigika haswa wananza bembeleza mazungumzo ili watoke Gaza salama.
Wamezungukwa kila kona.
Hamasi piga hao kenge wauwaji watoto na wanawake na vizee.
Hao Hamas wamekufanyia nini mbona unawapenda sana? Kwa siku unaweza kuanzisha hata nyuzi 20 za kuwahusudu tu.Of course Israel lies. What else is new? Cowards left their soldiers to die and just claimed Hamas killed them to gather support.
Safi sana inanikumbusha enzi zetu za ututo pale tunatumia manati, hao waisrael wanapigwa kama wale ndege wanaitwa Tina wako juu ya mizambarao, afu wanadondoka chini pwa 😄
Ngojea tuone.Kwa pale mashariki ya kati kwa miaka yote Israel kwa sasa amepitia kipindi kigumu sana katika historia yake na Kuna mambo kama hiii vita itaisha yatabadilika sana pale mashariki ya kati ni Suala la muda tu
Leo wamepigika haswa wananza bembeleza mazungumzo ili watoke Gaza salama.
Wamezungukwa kila kona.
Hamasi piga hao kenge wauwaji watoto na wanawake na vizee.