Israel imefanikiwa kupata miili Mingine mitatu ya mateka waliouwawa na Kushikiliwa Mateka tokea October 7, 2023

Israel anaangalia maslahi yake si ya wazungu wa ulaya
 
Israel anaangalia maslahi yake si ya wazungu wa ulaya
Hao wazungu nduo wanaompa misaada kila siku ndio wanaompambania kwenye jumuia ya kimataifa na ndio wanaompigania vita vyake
Hadi ilo taifa unaloliita israel wazungu ndio wamewapatia
ila the coins are turning from icj to icc hadi waisrael wenyewe wameanza kukataa hadharani kama huyu mama ambaye yupo ikulu ya marekani ambaye familia yake ni holoucust survivor
 

Attachments

  • Screenshot_20240525-104339_Chrome.jpg
    323 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240525-104502_Chrome.jpg
    340.2 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240525-104635_Chrome.jpg
    440.1 KB · Views: 1
  • Screenshot_20240525-104903_Chrome.jpg
    428.3 KB · Views: 1
Haya bana. Hamas ni watakatifu. Islamic jihad ni watakatifu.
 
kama ni kweli waisrael ni wateule au watu wenye akili sana kama mnavyotuambiaga basi hawawezi kukubali kwamba hizo maiti kifo chao kilitokea octoba 7

haitaji akili nyingi kufikiria kwamba vifo vya hao watu vimetokana na majeshi ya israel kuishambulia GAZA na kuua watu wao wenyewe
 
Haya bana. Hamas ni watakatifu. Islamic jihad ni watakatifu.
Hamas wana mapungufu yao na hao sijui isis ,au alshabab hawana uhusiano na uislamu ni wahalifu kama wahalifu wengine tu
 
Propaganda za kutaka kuungwa mkono operation ya Rafah
 
Kwa sasa Israel hana haja na hao mateka, sharti la hamas walisema Israel iwe tayari kupokea mateka walio hai au wamekufa, hamas wanajua hawana mateka walio hai
Na hata wangekua hai, Israel ingekubali wachukue wafu,waliobakia hai wangeuwawa kwanza ndo wakabidhiwe. Iwe kama wamelipiza kisasi.
 
Kwahiyo wakisema Hamas ni sawa ila Israel sio... Makatili wenzako miili imeoza hadi jitihada za utambuzi zinafanyika.. unataka kutuambia hadi mwili wa Joshua Mollel Hamas hawajauchukua.. wewe ni mdogo wake Allah
We mlokole una matatizo wewe
 
israeli wako fit sana yaan hamas wanajilaumu sana sasa mpka iran joto wanalipata hao mateka acha wafe ila Israeli iendelee kutoa kichapo kwa hao wapuuuzi mpaka akili ziwakae sawa.
Kweli kabisa, yaani watu 100 mateka wasababishe operations ifeli. Wacha wavunje majumba yote ya wapalestina siku nyingine ili waishi kama digidigi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…