Israel imefanya la kustajaabisha huko Syria

Israel imefanya la kustajaabisha huko Syria

Israel ndiyo inayoleta utulivu wa kweli ( Peacemaker ) eneo hilo lililojaa mgambo mamluki wa Iran wanaotaka moto uwake nchi zingine Syria, Lebanon, Iraq, Jordan, Saudia Arabia, Yemen ili mabwanyenye maAyatollah nchini mwao Iran waendelee kuongoza.
 
Huyu ni kama hawana time naye lakin hakika alipo kwasasa ana hali mbaya, maana wanachokifanya hawa wanakata mirija yale yoote wanamzonga zonga kiasa kwamba emd of time hata wakiamua kumuacha bas hatakua na namna zaid ya ku comply na demands za Israel.

Ujue lile shambulio la Israel nchin iran kujib kisasa wengi walilichukulia poa poa wakasema hamna madhara yoyote ila kwasasa ndio watu wataamini kuwa Netanyahu alimaanisha kuwa Iran iliathiriwa vibaya sanaaa
Akileta chockochoko Bibi anamtumia wale madem wa kiyahudi wakamsepeshe na nnya bila kuchamba kama kina Nassrallah na wenzie so lazima anyweye ili ugaidi uishe.
 
Nyie bado mnamuamini Israel, si alisema kavunja silaha zote za Hamas na Hezbullah. Haya tuchukulie ulicho sema ni kweli we u ajua aliye wapa support hao rebels ni nani? Si Qatar, Turkey na wengine kama Saud Arabia unadhani watashindwa kununua silaha tena ni hatari zaidi kuliko alizo kiwa nazo Assad.

Afu we akili kwako Israel anasema kapiga chemical weapons, hivi we unamini hayo nani angebaki hai pale Damascus vichaa kama nyie ndio mtamini hizo propoganda
 
Back
Top Bottom