Transisco06
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 1,033
- 1,013
Where does Iran get its moneyIsrael imeichokoza vipi Iran? Kwamba mashambulizi ya miaka yote ya vikundi vya Hezbollah, Hamas na Houth ambayo yamekuwa yakielekezwa nchini Israel ambayo mafunzo, pesa, vyote vinafadhiliwa na Iran huo haukuwa uchokozi?
Mlitaka Israel aendelee kupambana na proxies wa Iran yaani Hezbollah, Hamas na Houth? Wakati anayewawezesha yupo ametulia akiwa na amani?
Akipambana na hao proxies mnasema anaua wanawake na watoto, akipimpiga Iran mnasema mchokozi, mlitaka afanyaje?
Bunafsi nilikuwa nashangaa na kuwaona Usrael ni wendawazimy juhangaika na Hamas, Houth na Hezbollah wbadala ya kumtandika Iran.
Tena Israel ni watu wenye kujali sana, ina makombora yanayokwenda masafa ya mbali kuliko Iran lakini imeamua kutumia zaidi ndege.
Marekani isijifanye kusema inajiandaa kuishambulia Iran wakati ndiyo inayoishambulia Iran tangu mwanzo. Na kichapo hiki inachokipata Israel usidhani Marekani haimo.Asipo chapika Israel katika vita hii nitaamini kweli Israel ni Taifa la Mungu
Maana kitendo Cha kigaidi walicho kifanya Israel kuuwa viongozi wa Iran kinampa Iran haki ya kuishambulia Israel anavyotaka
Israel inaficha madhara ya vita kwake na inakuza madhara kwa Iran ili kuepuka kuwavunja moyo waisrael na kuwaita nguvu Iran. Lakini madhara ni makubwa sana hata Israel, inaficha tu kwa njia ya kudhibiti taarifa.Iran wanaenda kuchapwa vibaya, nimesikia kiongozi wa juu wa Iran anaenda kunyongwa sio muda mrefu.
Wale ni ndugu, na ndugu wakigombana wewe chukua jembe kalime. Hawa akina Heche waache vijana wafanyakazi wazalishe tukawauzie wanaogombana. Ni bahati mbaya tu wale wanaogombana ndio wanaozaliza mafuta ya nishati.Acha wazichape sisi tutawauzia mahindi na maji...
Ufafanuzi mzuri sana, anachofanya israel kwa sasa ni kukata kichwa cha ugaidi mashariki ya katiIsrael imeichokoza vipi Iran? Kwamba mashambulizi ya miaka yote ya vikundi vya Hezbollah, Hamas na Houth ambayo yamekuwa yakielekezwa nchini Israel ambayo mafunzo, pesa, vyote vinafadhiliwa na Iran huo haukuwa uchokozi?
Mlitaka Israel aendelee kupambana na proxies wa Iran yaani Hezbollah, Hamas na Houth? Wakati anayewawezesha yupo ametulia akiwa na amani?
Akipambana na hao proxies mnasema anaua wanawake na watoto, akipimpiga Iran mnasema mchokozi, mlitaka afanyaje?
Bunafsi nilikuwa nashangaa na kuwaona Usrael ni wendawazimy juhangaika na Hamas, Houth na Hezbollah wbadala ya kumtandika Iran.
Tena Israel ni watu wenye kujali sana, ina makombora yanayokwenda masafa ya mbali kuliko Iran lakini imeamua kutumia zaidi ndege.
Wewe ni iran promax kwhy huwezi kusema ukweli kwa kuwa umeshachagua upandeIsrael inaficha madhara ya vita kwake na inakuza madhara kwa Iran ili kuepuka kuwavunja moyo waisrael na kuwaita nguvu Iran. Lakini madhara ni makubwa sana hata Israel, inaficha tu kwa njia ya kudhibiti taarifa.
Acha uongo Iran hana uwezo wa kumpiga Israel. Anachofanya ni kushambulia makazi ya watu. Ngoja wamnyoshe vizuriIsrael inaficha madhara ya vita kwake na inakuza madhara kwa Iran ili kuepuka kuwavunja moyo waisrael na kuwaita nguvu Iran. Lakini madhara ni makubwa sana hata Israel, inaficha tu kwa njia ya kudhibiti taarifa.
Weusi wote Ni ushetani. Angalia like dude jeusi wanalizunguka wale jamaa, mle ndani ndo makao makuu ya shetani mkuu.Duh; kumbe ule weusi wa mwamposa ni ishara ya ushetani!
I never thought that you could be this dumb.
Yote hayo uliyoandika yanajulikana,You're so naive.
Ukiambiwa Sadam Hussein kasaidiwa sana na Marekani wakati wa vita ya Iraq na Iran, lakini baadaye kaja kunyongwa na hao hao Marekani utasema ni porojo za vijiweni.
Al Qaeda ya Osama kusaidiwa na kufadhiliwa na Marekani Al Qaeda wakipambana na USSR Afghanistan nayo utasema porojo.
YesWameshatunishiana muda mrefu Acha wazichape mpaka mbabe apatikane!
Israel ni taifa la kishetani, na makao makuu ya shetani duniani yako Marekani.