Israel imepokea ndege za kijeshi kutoka USA

Archaeology has uncovered dramatic evidence of this pervasiveEgyptian presence in 'Canaan'– yet nowhere does the Bible refer to Egyptians outside of Egypt. It would spoil the story–
How could Hebrews escape into the promised land if the Bible admitted Egyptians were running the show there too?.
 
Egypt ilikuwa big power enzi hizo,na utawala wake ulifikia mpaka caanan.
Governer wa mji wa jerusaleam alieteuliwa kutawala eneo hilo aliitwa Abdi hebba.
Hata wakati abraham anatoka ur kuja caanan akakuta kuna njaa aliunganisha mpaka misri kwenda kutafuta chakula akiwa na mkewe mrembo sara hadi farao akampenda na kutembea nae akidhani ni dadake abrahamu,
kama utawala wa misri ulifika mpaka caanan,hao waliotoroka misri kukimbilia caanan ipi ambayo haikuwa na wamisri?
 
Suala la kudai sijui jerusalem mji wa Daud,ni mambo ya kubuni,
ukienda iraq kwa mfano utakuta mabaki uya kale ya himaya za akina hamurabi,nebukednezer,asyria,babel etc,zipo evidence mpaka leo.
Sasa tafuta evidence ya mfalme mkuu daud uone kama utaambulia kitu,hakuna.....
Saul,daud,solomon kama walipata kuwepo himaya yao ilikuwa ndogo mithili ya kijiji tu,
kina daud kipindi anakuwa mfalme kwa mjibu wa bible,maadui zao wakubwa ilikua ni wafilisti,

na ukweli ni kuwa wafilisti ilikuwa ni jamii ndogo tu ya wakazi wa kandokando ya bahari,kama gaza,etc,lakini eti wafilist wakiwatesa wana wa israel mpaka samson akaja kujitoa mhanga mahakamani,
sasa unajiuliza hao wafilist waliweza vipi tena kuwatawala wayahudi baada ya kuwa wameshakaa na kutulia hapo
 
Na wala siyo mlokole kama alivyosema. Mimi siyo mlokole lakini walokole hawako hivyo
 

Evidence yako nini? biblia? na kama Mungu ni upendo kwanin awagawe watoto wake? maana palestine nao ni watu,wameumbwa kwa mfano wa Mungu. Wanastahili pia upendo na wao je waende wapi?
 

Wewe sio mlokole. Usidanganye watu kwa kutumia "common sense".
 
achana na story za utotoni eti kwa kuwa ni gifted land ndo iwe na watu waelevu.... nitajie top ten ya wanasayans wakubwa au jamii yoyote muhimu... km waisrael watafika hata wa 4... tusidanganyane
Wewe ni mbumbumbu first class.
 
Ni wale wasiojua historia na mwenendo wa siasa za kimaslahi za kimataifa vinginevyo tupo wakristu wengi tu ambao hatuiungi mkono Israel
Sawa mkuu ila ninawasiwasi kweli unausoma unabii wa Isaya 54
Evidence yako nini? biblia? na kama Mungu ni upendo kwanin awagawe watoto wake? maana palestine nao ni watu,wameumbwa kwa mfano wa Mungu. Wanastahili pia upendo na wao je waende wapi?
Swali zuri sana hili; ukisoma Biblia kitabu cha Mwanzo 12:1 utaona Mungu anazungumza na Abramu ambaye baadae alimbadirisha jina kuwa Ibrahimu maana yake ni baba wa mataifa (Abramu maaa yake ni baba wa wengi) Ibrahimu maana yake ni baba wa mataifa.

Mungu anamwambia Ibrahimu atoke kwenye nchi aliyozaliwa na kwenda kwenye ambayo haijui. Ibrahimu alifaya hivyo, na nchi yenyewe alimuonyesa ni nchi ya Canaani, kwaba vizazi vyake vya nne ndiyo vingeimiriki hiyo nchi.

Vizazi vya nne vya Ibrahimu ni watoto kumi na mbili wa Yakobo hawa ndo kabila kumibna mbili za Israel, yaani Mungu alimbadirisha Yakobo na kumwita Israeli maana yake ni mshindi.

Vizazi hivi vilikaa Misri kwa mda wa miaka 430, na wakawa wameongezeka sana na kufikia ngazi ya kuwa taifa. Musa aliwaongoza kwenda
kwenye hiyo nchi ya Ahadi maana Mungu alimtuma afanye hivyo.

Kwa miaka 40 walitembea na Musa akafa na kumwachia Joshua hiyo kazi, haikuwa rahisi kuirithi hiyo nchi kwahiyo walipigana na Wakanaan, wafilisti, wayebus, wahiti, waamaleki, waamori, wa (Moabu leo Saudi Arabia).

Ndivyo walivyo ichukua hiyo nchi, lakini watu waliowasumbua sana ni wafilisti leo wapalestina hasa upamde wa gaza. Daudi ndo mfalme pekee aliyeweza kuliunda pamoja taifa la Israel kama empire.

2Nyakati 3:1 inasema juu ya Sulemain kuanza kuijenga nyumba ya BWANA huko Yesrusalemuya mashariki katika mlima moria, hapo ndo hekalu lilijengwa 957 B.C.

ugomvi hapa ni ardhi hata hivyo hiyo iliisha, ila ugomvi mkubwa uliopo sasa dini na eneo la kuabudia. Kumbuka Wayahudi walijenga Hekalu zamani sana ambapo Mfalme Daudi ndo aliyepata wazo la kujenga nyumba ya BWANA na kuabudu humo na Mungu akaona ni vyema ila akamwambia kuwa mjenzi wa hiyo nyumba ni mwanae Sulemani.

Wakati Sauli akiwa mfalme wa Isarae makao makuu yake yalikuwa Gibeah na siyo Yerushalayimu, Daudi ndiyo aliyeuteka mji huu kutoka kwa wayebusi na kuuchagua kuwa makao makuu ya Israel maana ulikuwa katikati ya milima kwamaaba hiyo haingukuwa rahisi maadui kuufikia, wenyeji waliuita Yebusi Daudi akaubadilisha kuwa Yerushalayimu kama wao huuita kwa lugha yao sisi huku huuita Yerusalemu, huko ndo kuna mlima Moria.

Waislam walijenga msikiti wa al aqsa juu ya msingi wa Hekalu lile la pili lilojengwa na Nehemia baada ya lile la kwanzavkubomolewa na Nebukadreza mwaka 586 Yeremia 39:1

70 AD. Rumi walibomoa hekalu hili la
pili. miaka ya 567 Wakristo walijenga
kanisa juu ya misingi ya hekalu la pili. mwaka 705 waislma walilibomoa hili kanisa na kujenga ule msikiti wa ali aqsa, kisha pale lilipokuw hekalu la kwanza waislamu tena wakajenga lile jengo linaloonekana la duara juu katikati ya mji wa Yerusalemu.

Sasa Wahudi walisharudi kweye ile nchi yao ya ahadi 1945 AD, na waataka kulijenga Hekalu mahali palepale alipokuwa amelijenga Suleman tena kwa ramani na vipimo vilevile alivyotumia Sulema. Huo ndo ugomvi kati ya Isarel na ulimwengu wa kiislamu maana msikiti wa ali aqsa na lile jengo la duara (dome) yote yapo kwenye kiwanja komoja kile kile kinachohitajiwa na Wayahudi kwa ujenzi wa Hekalu la tatu, tayari wameshaanza na mipango na maandalizi ya ujenzi na ndo maana kila kukicha vita kati ya ulimwengi wa kiislamu na Israeli unaongezeka.
Ila Israeli ndiyo mshindi wa hii vita maana ni unabii unatimia siyo mapenzi au matawa ya mtu fulani, na lengo lake ni kuelekea mwisho wa hii
dunia maana baada ya hapo Yesu Kristo ataonekana mawinguni na mwaliko mkubwa wa malaika pamoja na wateule na ataimaliza vita kuu ya tatu ya dunia yaani armagedonia.
 
F35 ni overrated, kwahyo unataka kunambia Su-35 sio overrated?!
 
Bila ya USA hakuna Israel. Wanaitegemea sana USA na inawalinda.
Pole sana maana hujajua hata ni akina nani wana sauti juu ya USA, hujajua hata utajiri wote wa USA uko mikononi mwa akina nani, hata bado hujafahamu CIA na FBI zimejaa watu gani; hujajua ni nani mhusika mkuu wa technologia ya USA; kama USA wanataka kuanguka basi waambie waachane na Israel uone kama watakukubalia maana wanajua fika nini kimewafikisha hapo walipo. Kila rais wa USA anayeshika tawala swala la Israel siyo la kujadili bali ni kutekeleza tu tena bila mashariti yoyoten, ikiwa rais atajifanya anajua badi hawezi amaliza miaka miwili ndani ya White House itabidi achague mawili kujiuzuru au akomae halafu wamnanii hii.
 
Unaweza kuona hii picha na kuona jinsi gani historia inavyojieleza
 

Attachments

  • FB_IMG_1477896366390.jpg
    77.9 KB · Views: 94
.
Written in stone: Israel's 'Jehu, son of Omri' falls to the ground before Shalmaneser III.
Delicately carved ivory fromNimrud– testimony to Assyrian artistry
Shalmaneser's artifacts confirm the existence of a small Israelite kingdom – but NOT of the biblical story:
2 Kings 9,10 has it that Jehu was not Omri's son but an anointed assassin who had in fact murdered the 'house of Omri' on orders from Elisha!
 
Kwa akili uliyokuwa nayo naomba tu nikupe pole
 
Dini/imani haina utofauti sana na utumwa wa kifikra. Hz dini zimefanya watu kuwa watumwa kifikra na ukijaribu kuhoji unaonekana ni agent wa shetani
 
Big up kwa fikra pevu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…