Israel imepokea ndege za kijeshi kutoka USA

Israel imepokea ndege za kijeshi kutoka USA

Uyahudi(JUDAISM) sio sawa na Ukristo(CHRISTIANITY). Wayahudi wanatumia zaidi Torati (Torah) kama kitabu cha mwongozo, lakini pia wana vitabu vyao vingi tu vikiwemo vingine vilivyo katika Biblia kama Zaburi na Mithali.

Kibaya zaidi Wayahudi wanapinga sana mambo yoyote yanayomhusisha Yesu Kristo kama Mwokozi wa ulimwengu. Hata hivyo bado kuna Wana wa Israel ambao ni Wayahudi lakini ni Wakristo(JEWISH CHRISTIAN).
Nimeanza kuelewa kiundani kidogo
 
Mada inahusu ndege ya kijeshi ya F 35 lakini wahafidhina wa kidini wamegeuza mada na kuharibu Uzi.Cha kushangaza mada yoyote inayohusu Israel, Iran na mashariki ya kati lazima Uzi utawaliwe na itikadi za kidini sijajua kwanini.
 
Unaonekana hata hujui historia ya Israel na ya mashariki kati kwa ujumla; si dhani kama unauelewa unabii wa Biblia juu ya Israe na siku za.mwisho; kama wewe ni mlokole basi kwahili pole sana, nenda kumuulize mchungaji wako juu ya mambo haya, muulize hekalu alilolijenga Sulemani liko wapi? na kama halipo ni nani alilibomoa tena ni lini? Je hekalu alilolikuta Yesu Kristo liko wapi? maana Biblia inasema wazi kuwa Yesu aliingia hekaluni na mafarisayo wakaanza kumuuliza maswali, je hili hekalu nani aliliboa na ni lini,

halafu tafuta kujua utofauti kati ya hekalu alilolijenga Sulemanibna lile alilolikuta Yesu. hii itakusaidia kujua nini kinaenda kutokea madhariki ya kati hasa Israel. Tafuta uhusiano wa hekalu linalotaka kujengwa na Wayahudi na ujio wa mara ya pili wa Kristo. Soma Ezekieli sura mbili hizi zote 38 na ile ya 39 kisha ujue Mungu alimwambia nini Ezekieli kuhusu Israel na siku za mwisho; tafuta kujua chanzo cha vita ya magogu na ile Arimagedoni. Basi ikiwa wewe unajaribu kuwa na huruma zidi ya wafilisti basi hiyo ni huruma yakwako wala Mungu hayumo kwenye hiyo huruma ni lazima yote yatimie yaliyoandikwa. kumbuka vita ya Israel na wafilisti ni ya tangu enzi za Joshua, Waamuzi, Samweli, Mfalme Sauli, Mfalme Daudi hadi leo hii, na mwisho wa yote hayo Israel ndiyo mshindi wa hii vita ikiongozwa na Kristo mwenyewe akiwa MFALME.

Mh! yaani uilinganishe Israel na S. Africa? nyingine ni nchi ya Agano na Ahadi tena Takatifu halafu hiyo S. Africa yako in nchi ya kawaida tu kama zilivyo nchi nyingine tu mfano
S. Sudan. Kwa miaka zaidi ys 1896 Wayahudi walisambaratishwa na Rumi mwaka 70 AD, mwaka wa 1945 baada ya WWII wakarejea sawaswa na neno la Nabii Isaya sura yote ya 54. Pole sana kwa wanaowaunga mkono wafilisti ila hawatafanikiwa hata kidogo maana mpaka mipaka yote na ardhi yote ya Israel ichukuliwe na Wayahudi kama ilivyotajwa na Mungu akimwambia Musa yaani kuanzia mto Jordan hadi milima ya goran ya Syria, hadi upande wa gaza na Yerushalayim yote bila kuigawanya ndiyo mji mkuu wa Yisrael. Hapa akina arafat, abas na wote akina yahe hawana chao.
Uongo uliozidi hadi unakera na kuwa
Pumba tupu matapishi[emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Back
Top Bottom