Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Ukweli umeanza kujulikana kuwa waliokufa kwenye tamasha la muziki eneo la Nova wengi wao waliuliwa na helikopta za Jeshi la Israel na sio wanamgambo wa Hamas.
Kuhusiana na mateka wengi wao itakuwa wameshauliwa na Israel yenyewe na wachache wametoroka na wapiganaji wa Hamas.
Msemaji wa jeshi la Israel ameweka wazi mbinu iliyotumika kuwauwa wakitaraji wanawauwa Hamas.Mbinu hiyo ni kwa kutumia aina ya kemikali inayoripuka na kutoa moshi mwingi ambayo wamekuwa wakiitumia kuiingiza kila kwenye tundu la Handaki.
Mbinu hiyo msemaji huyo alisema aina hiyo ya kemikali inauwa kila kilichomo ndani yake na hutuo moshi kwenye mlango mwengine wa handaki hilo ili wao waweze kujua milango yake mingine.
Alipoulizwa kuhusu usalama wa mateka katika aina hiyo ya kushambulia Hamas, akasema wao huwa hawafanyi hivyo mpaka wapate uhakika kuwa hakuna mateka eneo hilo.Kauli hii ilikuwa ni ya kubabaika baada ya swali la kushtukiza kwani kama walijuwa mateka wapo wapi wasingepiga kwa namna hiyo kama kweli nia ni kwaokoa mateka.Na kama walijuwa wapo Hamas kwa kukisia basi lazima walijuwa na mateka wapo pamoja nao.
Mapigo ya aina hiyo ni aina ya mapigo na hukumu za kujichukulia sheria mkononi kuhukumu wasiohusika na hili ni tatizo linalipigiwa kelele kila siku na serikali yetu na serikali nyengine duniani.
Ukipata madhara mtaani basi hupaswi kupiga kila mmoja unayemuona eneo hilo.Fanya uchunguzi mpaka umpate muhusika halisi na umpeleke kwenye vyombo vya sheria.
Kuua vichanga na wagonjwa na wanafunzi pamoja na kupiga watu kwenye tamasha la muziki na kutumia kemikali kwenye mapango ya Gaza ni sawa na kujichukulia sheria mkononi.Na ni unyama kuuwa mpaka watu wako mwenyewe kwa kutaka kuwapiga maadui zako.