ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Dua, maombi, mifungo ya Mara kwa Mara ndiyo Siri ya mafaniko ya Israel.
Taifa la Israel linaombewa Sana duniani na mataifa yote.
Jambo la kushangaza hata wa Palestina na wairan wakristo wanaomba kwa ajili ya Israel.
Moseb Hassan Yosep, mtoto wa muasisi wa HAMAS ni miongoni mwa wa Palestina wana maombi wa Israel
Maombi, Dua, mifungo ndiyo ufunguo wa kila kitu siku watakatifu wakiacha kuomba, itakuwa ndiyo mwisho wa Israel.
Omba kwa ajili ya Israel