Israel inatakiwa kufutwa ili kuleta amani Mashariki ya Kati

Israel inatakiwa kufutwa ili kuleta amani Mashariki ya Kati

S-series

Member
Joined
Jul 2, 2014
Posts
29
Reaction score
42
Amani ya Mola I we juu ya wote wapendao haki.

Nchi za Magharibi na Marekani zimekuwa na mipango ya muda mrefu ya kuangamiza uchumi wa mataifa ya Mashariki ya kati na ISRAELI ndio mfanikishaji wake hivyo nadhani juu ni wakati muafaka wa kuisambaratisha ISRAEL ili kuvunja ngome ya magharibi inayoratibu mipango hiyo ya muda mrefu.

Hv vikundi vya kiislamu ktk hizi nchi za kiarabu hatujaona vikiwa chanzo cha ukosefu wa utulivu ndani ya nchi zao ndo maana tunaona sio HAMAS, HEZBOLLAH wala HOUTH ambao wanawaonea raia wa nchi zao isipokuwa baadhi ya vikundi ambavyo vinasapotiwa na kutumiwa na Marekani na washirika wake.

Tujipe muda yajayo sio mepesi kwa ISRAILI nipo paleeeeee nimekaa nasubiri matokeo tu.
 
Ikiwezekana basi Allah atakuwa ni Muongo kwani Alimuambia Mussa aingie nchi takatifu na asitoke na aipiganie ardhi hadi siku ya Kiama..

(Quran 5:20) Kumbukeni Musa alipo waambia watu wake: Enyi watu wangu! Kumbukeni neema ya Mwenyezi Mungu iliyo juu yenu, alipo waweka Manabii baina yenu, na akakuwekeni watawala, na akakupeni asiyo waruzuku yeyote katika dunia.

(Quran 5:21)Enyi watu wangu! Ingieni katika nchi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekuandikieni. Wala msirudi nyuma, msije mkawa wenye kukhasirika.
— Ali Muhsin Al-Barwani

(Quran 17:104)Na tukawaambia baada yake Wana wa Israili: Kaeni katika nchi. Itapo kuja ahadi ya Akhera tutakuleteni nyote pamoja.
— Ali Muhsin Al-Barwani
 
Nchi za kiarabu nyingi zina vita sitaki kuamini hizi vita zinaletwa na wana Israel
 
Israel aiwezi kufutika
Hitler alishindwa then who are Arabs waweze
 
Amani ya Mola I we juu ya wote wapendao haki.

Nchi za magharibi na Marekani zimekuwa na mipango ya muda mrefu ya kuangamiza uchumi wa mataifa ya Mashariki ya kati na ISRAELI ndio mfanikishaji wake hivyo nadhani juu ni wakati muafaka wa kuisambaratisha ISRAEL ili kuvunja ngome ya magharibi inayoratibu mipango hiyo ya muda mrefu.

Hv vikundi vya kiislamu ktk hizi nchi za kiarabu hatujaona vikiwa chanzo cha ukosefu wa utulivu ndani ya nchi zao ndo maana tunaona sio HAMAS,HEZBOLLAH wala HOUTH ambao wanawaonea raia wa nchi zao isipokuwa baadhi ya vikundi ambavyo vinasapotiwa na kutumiwa na Marekani na washirika wake.

Tujipe muda yajayo sio mepesi kwa ISRAILI nipo paleeeeee nimekaa nasubiri matokeo tu.
Akili za madrasa utazijua tu,pole sana mjalaana wa ala.

Mungu ibariki Israel,angamiza magaidi yote hapo mashariki ya kati.
 
Amani ya Mola I we juu ya wote wapendao haki.

Nchi za magharibi na Marekani zimekuwa na mipango ya muda mrefu ya kuangamiza uchumi wa mataifa ya Mashariki ya kati na ISRAELI ndio mfanikishaji wake hivyo nadhani juu ni wakati muafaka wa kuisambaratisha ISRAEL ili kuvunja ngome ya magharibi inayoratibu mipango hiyo ya muda mrefu.

Hv vikundi vya kiislamu ktk hizi nchi za kiarabu hatujaona vikiwa chanzo cha ukosefu wa utulivu ndani ya nchi zao ndo maana tunaona sio HAMAS,HEZBOLLAH wala HOUTH ambao wanawaonea raia wa nchi zao isipokuwa baadhi ya vikundi ambavyo vinasapotiwa na kutumiwa na Marekani na washirika wake.

Tujipe muda yajayo sio mepesi kwa ISRAILI nipo paleeeeee nimekaa nasubiri matokeo tu.
Kumbuka israel ni taifa la nuklia sijui kama mnajua madhara ya nuklia
 
Sitaki kuamini zile silaha za mabilioni ya dola Saudi Arabia huwa ananunua toka West hasa USA kwa ajili ya mapambo au kwa ajili ya kuwapiga tu waarab wenzao wa Yemen?
Kwa nini asizitumie kuoambana na Israel? Au Israel ni mkubwa kuliko imani yao?
 
Back
Top Bottom