ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Nchi ya Israel inawalipa dollar 1200 Wafanyakazi wa mashambani na ujenzi.
Hii pesa ni nyingi sana kwa maisha ya Afrika. Baada ya miaka mitano maisha ya mtu yatakuwa yamebadilika Sana. Kama ni nyumba umejenga
Lakini cha kujiuliza, ni kwanini nchi ndogo kama Israel inaweza kuajili watu wengi kiasi hiki.
Sisi Afrika tumekosa wapi. Kwanini tunashindwa kuajili vijana wetu kwa wingi na mishahala mizuri.
Tuna matatizo gani. Israel imeajili watu kutoka dunia nzima
sisi Afrika tunakosea wapi