Waafrika hatujitambuiiiNchi ya Israel inawalipa dollar 1200 wafanyakazi wa mashambani na
lini afrika tumekua na akili mkuuNchi ya Israel inawalipa dollar 1200 wafanyakazi wa mashambani na ujenzi.
Hii pesa ni nyingi Sana kwa maisha ya Africa. Baada ya miaka mitano maisha ya mtu yatakuwa yamebadilika Sana. Kama ni nyumba umejenga
Lakini cha kujiuliza, ni kwanini nchi ndogo Kama Israel inaweza kuajili watu wengi kiasi hiki. Sisi Africa tumekosa wapi. Kwanini tunashindwa kuajili vijana wetu kwa wingi na mishahala mizuri. Tuna matatizo gani. Israel imeajili watu kutoka dunia nzima
Sisi Africa tunakosea wapi
Israel inatafuta wanajeshi kijanja[emoji4]Mnaambiwa ni kazi za mashambani kumbe mnaenda kubebeshwa silaha mkapambane na Hamas ambao vijana wa kiyahudi wamewashindwa kutokana na malezi ya kishogashoga
Unawajua waswahili ni watu gani?Leo hii angalia Afrika Kusini ya makaburu na hii ya hawa waswahili tofauti ni kama usiku na mchana.
Ngoja kwanza viongozi wamalize kujenga makwao.Nchi ya Israel inawalipa dollar 1200 Wafanyakazi wa mashambani na ujenzi.
Hii pesa ni nyingi sana kwa maisha ya Afrika. Baada ya miaka mitano maisha ya mtu yatakuwa yamebadilika Sana. Kama ni nyumba umejenga
Lakini cha kujiuliza, ni kwanini nchi ndogo kama Israel inaweza kuajili watu wengi kiasi hiki.
Sisi Afrika tumekosa wapi. Kwanini tunashindwa kuajili vijana wetu kwa wingi na mishahala mizuri.
Tuna matatizo gani. Israel imeajili watu kutoka dunia nzima
sisi Afrika tunakosea wapi
Akili huna Kwa hiyo ukiwa vitani hulimi? Tanzania tulipopigana na Uganda tulikuwa hatulimi ?Uliskia wapi watu wanalima VITANI?[emoji4]
Watu wanashindwa kuelewa kitu kimoja...kale kanchi ni project ya wakubwa....angalia raia wao wte wanatoka mataifa tofautitofauti ya huko magharibi....halafu kwa mwaka wanapewa dolare bilioni 3 kwa mambo Yao na wale makaka zao wa kule kaskazini....Sasa hayo mahela yte washindwe kutafuta cheap labour huku Dunia ya saba....Linganisha hzi nchi zetu za Afrika wenyewe kwa wenyewe sio hzi nchi na wale Wateuliwa wa Mungu🤠🤠Israel inatafuta wanajeshi kijanja[emoji4]
hii mitego ya wayahudi mnaoendekeza njaa mtakufa huku kipande cha mkate mdomoniNchi ya Israel inawalipa dollar 1200 Wafanyakazi wa mashambani na ujenzi.
Hii pesa ni nyingi sana kwa maisha ya Afrika. Baada ya miaka mitano maisha ya mtu yatakuwa yamebadilika Sana. Kama ni nyumba umejenga
mkiingia kichwa kichwa mtaku
Lakini cha kujiuliza, ni kwanini nchi ndogo kama Israel inaweza kuajili watu wengi kiasi hiki.
Sisi Afrika tumekosa wapi. Kwanini tunashindwa kuajili vijana wetu kwa wingi na mishahala mizuri.
Tuna matatizo gani. Israel imeajili watu kutoka dunia nzima
sisi Afrika tunakosea wapi
Unashindwa kukumbuka kuwa 90% ya Israel budget inatoka USA.Nchi ya Israel inawalipa dollar 1200 Wafanyakazi wa mashambani na ujenzi.