masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
Spiritual ata wewe Mungu alikuchagua kuwa utazaliwa katika jinsia uliokuwa nayo , tena amechagua tarehe yako nzuri ya kufa, hivyo kila mtu ana level yake ya spiritual kwa kiasi Mungu apendacho, hivyo tukijadili basi tujadili kibinadamu kwa matendo yao, njaa ndio imewakimbiza Yakobo na wanawe kaananiSpiritual alishachaguliwa kuwa mkuu kwa wenzake, na alionyeshwa kwenye ndoto, maana ndoto ni njia mojawapo ya mawasiliano ya kiroho kwa binadamu, sasa baada kuchaguliwa katika ulimwengu wa roho, kilicho baki ni kujizihirisha katika ulimwengu wa mwili au kibadamu.
Sasa kibadamu ndio unaona yusuph anauzwa na ndugu zake baada kughairi kumuua, tena baada ya miaka njaa inawapeleka kule aliko ndugu yao.