Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Huu Uzi ni Kwa waaminio juu ya Yesu Upande wa Kristo na wenye Imani ya Kiyahudi .
Iko hivi Wayahudi hawakumwamini Yesu Kristo Hadi Leo hii hawamwamini.
Wao hata Leo wanaendelea kumngoja MASIHI wao, ambaye ndie anakuja kua Mfalme wa Wayahudi Kiroho na Kiulimwengu.
Sasa Kwa Imani ya Kiyahudi, Ujio wa MASIHI wao NI LAZIMA KWANZA, WAJENGE HEKALU LA TATU (PATAKATIFU) .
Kwanini la Tatu? Hekalu la Patakatifu la kwanza lilijengwa na Mfalme Suleiman , likaja kubomolewa na wavamizi, Kisha likajemgwa Tena ,likaja bomolewa na RUMI miaka 1800 ilopita, na tangu hapo Wayahudi wakasambaratishwa na kutawanyika Duniani kote kuepuka kuuwawa , mpaka mwaka 1948 wakati wa Azimio la Umoja wa Mataifa , Marekani ikiwa na Rais Mrepublican likaletwa Azimio la Wayahudi wote Duniani warudi Eneo lao waloishi, Hivo wakarudi Katika Ardhi yao ya Israel.
Kurudi kwao Israel 1948, na miaka Ile 1800 ilopita, hawakuwahi tena kua na HEKALU , na hata Ibada zao za Leo zinafanyika Kwa kufananishia tu ila bado HAWATOI KAFARA.
Kwanini hawakuwahi kujenga HEKALU?
Kwanza, li Hekalu lijengwe ilikua lazima kwanza WAPATIKANE NDAMA WA NG'OMBE WEKUNDU ,ambao tangu Enzi na Enzi walitumika kutoelewa KAFARA.
Pili, Eneo palipojengwa Hekalu ,baada ya wao kukimbia miaka mingi ilofata, WAISLAM wakajenga MSIKITI WA AL AQSA. Ukisikia Ugonvi wa Wayahudi na WAISLAM ulianzia hapa , yaan Wayahudi wanataka eneo lao, ambalo tayari Waislam wamejenga MSIKITI .
Jambo la kushangaza, Kila Mara ambapo Marekan humpata Rais Mrepublican, Huwa Kuna jambo kubwa linafanyika Israel.
Utarejea ,Trump Kwa mara ya kwanza baada ya kushika Urais analitangaza Jiji la Jerusalemi kua Mji Mkuu wa Israel ( hili jambo Kidunia lilichukuliwa tukio la kawaida sana, ila Kiroho lilikua tukio Kubwa ) msikilize hapa Waziri Mkuu Ntetanyahu siku ambayo Trump alitangaza Jerusalem kua Mji Mkuu wa Israel
View: https://youtu.be/xJiBu79Bids?si=zl388VeyvFXWXnPP
Ni Trump tena Rais kwa kipindi 2025+.
Sasa kwanini wataliienga muda wowote Toka Sasa?.
Israel kwa kushirikiana na Marekani , walianzisha Program ya kuhakikisha wanaweza kupata NDAMA WEKUNDU wasokua na Dola lolote mwili mzima ,ama kwa njia ya NG'OMBE wa kawaida kuzaa au Kwa njia za Kisayansi, na kufikia Mwaka 2022 Wakapatikana NDAMA ZAIDI YA WANNE ( program hii ilifanywa Kwa Siri kubwa Hadi majuzi tu ndio imewekwa wazi na Kuwaacha Wanadunia midomo wazi ,huku Waarabu wakiduwaa kabisa )
Sasa NDAMA wenyewe ni Hawa
View: https://youtu.be/nTynvqHaPDk?si=dnZTPthuF-5LaGE_
Mashariti yote ya ujenzi wa HEKALU Sasa yametimia
View: https://youtu.be/Puh80LhMJiY?si=9Bz9ygu0Mm0T0l-C .
MSIKITI wa Al-Aqsa UTAVUNJWA, Israel itajenga HEKALU.
Kwa Ufupi, Ujenzi wa HEKALU HILI ambao lazima ufanyike kuanzia sasa lazima ukamilike Trump akiwa Madarakani, bila hivo ni lazima TRUMP auwawe , na likijengwa, basi Wakristo tuendelee sana Kua karibu ya Yesu Kristo Kwa maana Ujio wake upo karibu kuliko nyakati zozote.
Mambo haya ,Kama umshamkataa Mungu ,huwezi kuyaelewa na hapa utakuja kuongea upuuzi
Msione kwann Uturuki imeingia Israel, huku Misiri ikijiimarisha kijeshi mipakani mwa Israel ,Kuna mambo mazito nyuma.