Unaelewa maana ya kufunga anga na Naval blockade.Hawana refueling capacity ya kutawala anga la Yemen hata kwa nusu siku.
Ingekuwa rahisi kufunga anga la Yemen, Trump asingeomba po kwa Wahouthi kupitia kwa WaOman
Unaelewa maana ya kufunga anga na Naval blockade.
Akili yako inakutuma kuweka madege angani kulinda anga la Yemen😂🤣😂
Sio hivyo....
Kile anachokifanya kuharibu miundo mbinu ya ndege kutua, na kuharibu ndege na tisho la kupiga uwanja wa ndege na ndege muda wowote kunafanya ndege yeyote isitue Sanaa au Yemen.
Pia kuharibu bandari, meli zitashushia wapi, na pia tisho la kushambuliwa kwa meli za wafanyabiashara nani anapeleka meli zake Yemen.
Hawaweki madege angani yabaki yanazurula huko😎
Huyo mtoa mada hana akili kabisaHawana refueling capacity ya kutawala anga la Yemen hata kwa nusu siku.
Ingekuwa rahisi kufunga anga la Yemen, Trump asingeomba po kwa Wahouthi kupitia kwa WaOman
Ubishi mwingine haunaga hata maana yaani. So unahisi msemaji wa Israeli hajui hilo hadi akatamka alioyatamka? Kwamba sisi wa huku bongo ambao bado hata kipindupindu tu kimetushinda, tunaweza kujua zaidi kuliko Israeli na Yemen wenyewe? Ungejipa muda walau hata wiki 1 tu.Hawana refueling capacity ya kutawala anga la Yemen hata kwa nusu siku.
Ingekuwa rahisi kufunga anga la Yemen, Trump asingeomba po kwa Wahouthi kupitia kwa WaOman
Walisema wanaingia vikosi Gaza ili kwenda kuifuta Hamas. Baada ya muda wakavitoa huku Hamas ikiwa imeongezeka nguvu.Vita vya mtu ambaye yupo nae kama pua na mdomo vimemshinda leo hii akafunge Anga la mtu ambaye yupo nae mile kazaa, unafikiri vita ni simple kama uavyosema.Ubishi mwingine haunaga hata maana yaani. So unahisi msemaji wa Israeli hajui hilo hadi akatamka alioyatamka? Kwamba sisi wa huku bongo ambao bado hata kipindupindu tu kimetushinda, tunaweza kujua zaidi kuliko Israeli na Yemen wenyewe? Ungejipa muda walau hata wiki 1 tu.
Tusubiri tuoneHawana refueling capacity ya kutawala anga la Yemen hata kwa nusu siku.
Ingekuwa rahisi kufunga anga la Yemen, Trump asingeomba po kwa Wahouthi kupitia kwa WaOman
Shida yako wewe na Mudi ndio hiyo mkishapigwa na kubanwa kila kona mnakuja na vijisababu dhaifu.Hawana refueling capacity ya kutawala anga la Yemen hata kwa nusu siku.
Ingekuwa rahisi kufunga anga la Yemen, Trump asingeomba po kwa Wahouthi kupitia kwa WaOman
Kweli we kobaziWalisema wanaingia vikosi Gaza ili kwenda kuifuta Hamas. Baada ya muda wakavitoa huku Hamas ikiwa imeongezeka nguvu.Vita vya mtu ambaye yupo nae kama pua na mdomo vimemshinda leo hii akafunge Anga la mtu ambaye yupo nae mile kazaa, unafikiri vita ni simple kama uavyosema.
Maneno sio vitendo, maneno ayajengi ghorofa
Sasa kama hawana interest ya kulinda mali, hizo military assets ni za nini ikiwa hazilindi mali za nchi na raia wake? Hizo military assets ni za kurusha kuelekea Israel tu!!!Wahouth hawana interest ya kulinda majengo. Wao military assets zao ikiwemo makombora yao yapo chini underground
Was time specified? Fatilia vita vyote vya hapo middle east, havikuwahi kua vya muda mfupi. Lakini, hivi ni lini vita kati ya nchi na vikundi imewahi kua ya muda mfupi? Tanzania na Uganda tulipigana only for 6 months, Idd amini akafurushwa. Vita vya ghuba kati ya USA and his allies vilipiganwa kwa siku 40 tu, lakini vita kati ya nchi na vikundi, Marekani tu kwa mfano, kapigana na Alqaeda kwa zaidi ya 15 years, Nigeria with Boko Haram, mwaka wa ngapi hu?Walisema wanaingia vikosi Gaza ili kwenda kuifuta Hamas. Baada ya muda wakavitoa huku Hamas ikiwa imeongezeka nguvu.Vita vya mtu ambaye yupo nae kama pua na mdomo vimemshinda leo hii akafunge Anga la mtu ambaye yupo nae mile kazaa, unafikiri vita ni simple kama uavyosema.
Maneno sio vitendo, maneno ayajengi ghorofa