Israel kufunga anga ya Yemeni, kutia uzio angani, hamna chochote kitapaa au kutua


Hayo mapendekezo, Marekani na Israel wameyakana, na kusema ni fake. Hamas na watu wao, wameyaandaa na kisha haraka kutamka kuwaeti wameyakubali. Netanyahu ametamka kuwa hakuna mtu mwenye akili anayeweza kuyakubali mapendekezo kama hayo. Na mwakilishi wa Marekani amesema kuwa yeye hajawahi kuandaa mapendekezo hayo.
 

Wayahudi hawatofutwa wataendelea kuchokoana makalio kutoana vinyesi hiyo ndiyo unayoona wamebarikiwa nayo


 
kuliko wewe na baba yako Pengo ??
Eeeeh vipi tena mbona unamsema Babako ? kwetu Pengo ni sehemu ya kuingizia nyoka vipi unapenda nawe nikuingizie ? Ila cha msingi ni wewe tu kuchagua nyoka wa upana gani, lengo ni kuepuka kale katabia cha kujinyeanyea.

Samahani lakini dada yangu wa ukweeee, kwani wewe umeshawai kujinyeanyea mara ngapi mbona zamani ulikuwa hauna hako katabia ?😀😀😀😀😀😀
 
Typical lugha za watoto wa kardinali Pengo
 
Vilemba wa Yemen wanaenda kusahaulika kama Hizbollah
Hezbollah upande wenu tu propaganda nyingi lkn Hezbollah ipo kama jana na Israel asogei pande yao mtabakia kuwashinda kupitia Propaganda tu
 
Ivi ni kufunga Anga au taulo tueleweshe kwanza !!!!!!
 
Yemen anafanya calculated attack vs israel lengo n8 kumforce israel atoke gaza aache vita gaza na ndio maana hafanya escalation anafanya strategic attack na wanalenga zaidi kuzuia huduma hawajalenga kupiga raia ila uwezo wa kufanya hivyo wanao kama naval blockade ya meli za israel hazikatizi redseamarwkani kaenda kahangaika hangaika weeee akashindwa kajiondokea zake kasaini makubaliano ya amani naona sasa target ni kuhakikisha airport haifanya kazi air blockade kwa kurusha missile kwenye ile airport .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…