Israel wana haki ya kujilinda swala watu zadi ya 270 sio issue.Hamas wasingerusha makombora haya yasingetokea,wa kumlaumu ni hamas kama kweli dunia inamaanisha kutegemea amani siku moja. Haiwezekani Hamas warushe maroketi dhidi ya Israel,Israel wanapojibu dunia inasimama kinyume eti raia wameuawa... Umefika wakati wa dunia wapenda raia watengeneze makombora yatakayochagua na kuwaua wanamgambo/wanajeshi tu.Vinginevyo dunia isimame kinyume na uchokozi wa Hamas dhidi ya Israel