Israel wana haki ya kujilinda swala watu zadi ya 270 sio issue.Hamas wasingerusha makombora haya yasingetokea,wa kumlaumu ni hamas kama kweli dunia inamaanisha kutegemea amani siku moja. Haiwezekani Hamas warushe maroketi dhidi ya Israel,Israel wanapojibu dunia inasimama kinyume eti raia wameuawa... Umefika wakati wa dunia wapenda raia watengeneze makombora yatakayochagua na kuwaua wanamgambo/wanajeshi tu.Vinginevyo dunia isimame kinyume na uchokozi wa Hamas dhidi ya Israel
Ooook, nashangaa kwanini husemi kuwa attacks hizi ni kwa ajili ya uchaguzi wa Feb 10th 2009!? Najua kuwa wewe unajua hiyo facts lakini for some reason(s) una ignore na kuangalia zaidi hii disastrous military adventure.......Mpaka juzi kabla ya hii "massacre" Likud na candidate wao Netanyahu walikuwa wanaongoza ktk polls, hivi sasa namba zina-turn kwa Kandima na Tzipi advantage juu ya huu upuuzi!!
Ground Op itakuwapo na nawatakia goodluck "Moscow, Kiev, Kusk, Minsk and Blooklyn reject boys ang girls"!!
Richard Engell na Martin Fletcher, wanasema wasee wa "yellow and green"/Hezbollah wapo gado in southern Lebanon wakisubiri wakina Ari wa-make a wrong turn....one mistake, itakuwa vita kubwa kama summer ya 2006!!
Iran's Supreme Leader, Ayatollah Ali Khamenei, has issued a religious decree to Muslims around the world, ordering them to defend Palestinians against Israel's attacks on Gaza.
"All Palestinian combatants and all the Islamic world's pious people are obliged to defend the defenceless women, children and people in Gaza in any way possible," state television quoted Mr Khamenei as saying in a statement.
"Whoever is killed in this legitimate defence is considered a martyr."
Iran refuses to recognise Israel, which accuses the Islamic state of supplying Hamas Islamists with weapons.
Tehran denies the claim, saying it only provides moral support to the group.
Mr Khamenei also criticised some Arab governments for their "encouraging silence" towards the Israel's raids on Gaza.
http://www.abc.net.au/news/stories/2...section=justin
Source2008-12-28
Egyptian media is hard at Hamas
For the first time ever in the Israeli attacks against Palestinians is the reaction in the Arab world not clear. Egyptian media has ravaged the Hamas, government loyal al-Akhbar has called the alliance between Syria and Hamas, "a union of Satan" and Saudi Arabia, the country which sponsored Hamas in the beginning of its orbit, has followed the same line, especially in the regime's mouthpiece outwards, the London-based newspaper Sharq al-Awsat.
Egypt, Saudi Arabia and the PLO-Government in Ramallah urge both sides to suspend war actions, which is an unprecedented sharp marker. Even the Jordanian regime, who publicly condemns Israel, has also shown signs of satisfaction over the Israeli action.
Da kumbe wengi bado hatuielewi vizuri issue ya Israel and palestine.Na hapo ndiyo unapojua kuwa wengi wetu hutegemea kupata habari kutoka western media!..Tatizo lao ni occupation of palestine land by israel period!! na siyo maroketi au israel kujilinda au sijui hamas au shia au sunni!..na kila siku ukisikiliza vyombo vya magharibi watakuambia waliouwawa ni militants na hata siku moja hawawezi kuwaambia kuwa wanawake na watoto nao wameuwawa...sijui ni lini tutaweza kuachana na mambo ya propaganda za magharibi..na kuelewa vizuri huu mgogoro na kiini chake.
Ukisema hivi unakuwa kama unawa-support Hamas. Hamas wale ni terrorists, period. Pale Palestina ni kama kuna serikali mbili. Moja chini ya Ismail Aniel wa Hamas kule Gaza na nyingine na Mahomod Abbas kule West Bank. Na kuna wa-palestina wengi sana wanaounga mkono mazungumzo ya amani na Israel. Lakini Hamas, kwa kushirikia na Iran na kwa sababu zao wenyewe, ndiyo tatizo la peace Israel/Palestine.
Mimi naunga mkono sana kitendo cha Egypt kuwachomea this time. Maana muda mwingi Israel waki-strike ni raia ndiyo wanaumia/wanakufa kuwa hamas compounds zao ni sehemu za uraiani na walikuwa wanateleza haraka sana wakihisi. Kama mtego, Israel ilituma sms kwa raia wote wa Gaza kuwaambia waondoke kwani kuna kipigo, lakini Hamas hawakuamini kama kweli Israel inaweza strike, kwanza jumamosi ambayo kwako ni holy na pia kwa false assurance ya Egypt kwamba hakuna kitu hicho. Kwa 100 tons za bombs zilizomwagwa jumamosi kwenye hq yao, sasa hivi wameshavurugwa kama Hezbulah. Will take years to recover. In the course of recovering wanaweza kwenda mezani sasa.
Hebu kwanza nifafanulie maana ya "Terrorist", ukiniweka sawa hapo ninaweza kukubaliana na kauli yako. Vinginevyo there's no justification ya kuua watu 300 there's no. Kwa mtazamo wangu ni kwamba Israel wamefanya makosa makubwa sana kuua watu hawa kwani hakutakuwa na kusameheana tena na itabidi Israel afanye hivi hivi forever there'll be no real truce katika mauaji iliyoyafanya. Hawa 300 waliouwawa wameshafanya wengine 3000+ ama waongeze chuki au waanze chuki kwa Israel.
Wakulaumiwa ni Hamas ndio walioipa sababu israel kufanya yote haya!Walikataa amani na kuamrisha wapiganaji waishambulie israel.Tatizo Hamas hawajui lolote zaidi ya vita na ndio maana wamekataa kuwasikiliza Egypt na kuamua kufuata ushauri wa wahuni iran na syria matokeo yake ndio haya.Kama umewahi kuishi na waarabu(acha hawa koko wa bongo) utaafikiana na mimi kuwa iwanachopata sasa kutoka kwa israel ni size yao kabisa.