Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Hakuna tusi jipya wewe utakavyoona inafaa kusema sema lolote mzeeehilo cheko lako la heheeeee!! Mbona km nanii hivi...
Tafsiri yakupigana siku nyingi uwanja wa vita kua ndio kushindwa haikuanza leoMarekani anajulikana yupo na Israel hao magaidi walikuwa wanajua hilo, sio suala la kuwashtukiza. Mbona hulalamiki Hamas kusaidiwa na Iran? Mbona Israel hailalamiki bali inashambulia maofisa wa Iran wakiwa Syria, na wiki hii imemuua Brigadier General wao. Kazana acheni kulialia.
Kumbe tafsiri yako ya kushindwa vita ni kupambana karibia miezi mitatu. Tafsiri ya kutongozea ndio unaleta vitani.
Sasa assad kutumia gesi ya sarin ambayo haikuthinitishwa ukweli wakutumika kwake ila tuseme alitumia kweli kama usemavyo kuna tofauti gani na israhell kutumia white phosphorusHata kundi la Wakurdi la YPG lina uwezo mkubwa pale Syria na lina wapiganaji karibia laki. Ila miaka 10 sasa linapigana na Assad na halijamtoa. YPG haohao walishiriki kupigana na ISIS.
Sasa sijui jamii gani ya Kiarabu inajua kupigana kuliko Wakurdi.
Ni kwamba Israel inapigana kwa utulivu ikijua ipo salama na wala vita haipiganiwi ardhini kwake, ila ingekuwa imebanwa vikali ikiamua kupigana kivyovyote vile kama Assad, hao Hezbollah wala Hamas hawachukui round. Assad kabla jumuiya ya kimataifa haijaingia alikuwa anaweza kupiga salin gas eneo liliotekwa na waasi akapunguza kazi.
Israel itakuja kufanya maajabu endapo maadui zake wote wataungana alafu ipigane do or die.
Hizbullah haihitaji kuingia israhell kufanya mashambulizihujaelewa point, nilikuambia kama hezbolah anajiona ana nguvu aanze yeye kuingia israel alafu ndo tutajua kwamba ana nguvu kweli ama la? mfano ni kama ngudu zako hamas walijiona wana nguvu ya kupambana na israel, wakaingia israel na kuanzia kuanzisha vita, nafikiri wanachokipata kwa sasa unakiona, sasa si mnasema hezobal wana nguvu ya kupambana na israel, waambieni na wao waingie israel kama walivofanya hamas, ili tuone sasa hiyo nguvu yao? umenielewa shehe au umedamkia supu ya kitimoto?
sure mkuu kuanzia mleta uzi ni ananuka udini tuBinafsi hua napenda kufuatilia vita ya Ukraine kupitia Aljazeera among others ila nimeacha kabisa kuangalia tokea October 07 kwasababu 24/7 wanaongelea Gaza tuu.
Hata hapa huu uzi unaboa kwasababu inakua ngumu sana kupata taarifa yoyote ya maana kwenye military aspects za vita kwasababu kila anae comment anatanguliza udini whether anawatetea Israel ama Waarabu.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Brigedia ya golani imerejeshwa baada ya kuona wanakufa sana wakaona wataishaAkisema atumie nguvu hiyo unayoitaka huko gazi kutabaki Palestine yeyote?. Mpaka Sasa Israel imeingiza wanajeshi Wachache sana huko Gaza mfano brigade ya Golan alituma robo yake na ameirudisha Israel. Lakini mbali na kuingiza wanajeshi Wachache tunawasikia mnavyoangua kilio na kulaani kwamba mnafanyiwa massacre.
Unajichanganya bure.Haya sema kama una vyanzo vyengine vizuri vya kupatia hizo habari na sisi tukufuate huko.Binafsi hua napenda kufuatilia vita ya Ukraine kupitia Aljazeera among others ila nimeacha kabisa kuangalia tokea October 07 kwasababu 24/7 wanaongelea Gaza tuu.
Hata hapa huu uzi unaboa kwasababu inakua ngumu sana kupata taarifa yoyote ya maana kwenye military aspects za vita kwasababu kila anae comment anatanguliza udini whether anawatetea Israel ama Waarabu.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
israel anaingia na kupiga lebanon, anaingia na kupiga syria, anaingia na kupiga palestina kila anapotaka na hakuna anayemzuia au hujui hilo mzee?Hizbullah haihitaji kuingia israhell kufanya mashambulizi
Nandio maana inapiga israhell ikiwa Lebanon na inaua majeshi ya israhell na kuchoma vituo vyake vya kijeshi vizuri tu
Sasa ni kazi kwa israhell kwenda kuwazuia ili wasipige ndani ya israhell kama walivyo fanya kwa hamas
Huko kwengine anaingia na kupiga naungana na wewe ila Lebanon hua haingii na kupigaisrael anaingia na kupiga lebanon, anaingia na kupiga syria, anaingia na kupiga palestina kila anapotaka na hakuna anayemzuia au hujui hilo mzee?
Huko chini Hamas wanafanya nini? Yaani wanawake na watoto wamelekezwa juu halafu wao wanajificha chini wanategemea hao watoto na wanawake walindwe na Nani?Brigedia ya golani imerejeshwa baada ya kuona wanakufa sana wakaona wataisha
Hakuna Anaelalamika masacre kama mungekua hamuui watoto na wanawake
Mnasema hamas wapo chini ila ajabu mnapiga hospital
Sasa shida yenu hamas au shida yenu hospital
Kama mnataka hamas wafateni huko walipo uone kama kuna mtu atasema neno
Kwani hao israhell huko juu na kule baharini wanafanya nini?Huko chini Hamas wanafanya nini? Yaani wanawake na watoto wamelekezwa juu halafu wao wanajificha chini wanategemea hao watoto na wanawake walindwe na Nani?
Kama haikudhibotishwa, ilikuaje Assad akasaini mkataba wa kuharibu shehena ya tani za Sarin gas?Sasa assad kutumia gesi ya sarin ambayo haikuthinitishwa ukweli wakutumika kwake ila tuseme alitumia kweli kama usemavyo
White phosphorus sio chemical weapon kiuhalisia, chemical weapon gani inaweza tumika kama cover ya advancement ya jeshi, yani iwe chemical weapon alafu muitumie wenyewe kujifichia?kuna tofauti gani na israhell kutumia white phosphorus
Kumbe kuna kufuata sheria za kimataifa. Sasa mbona ulishangilia Hamas kuvamia raia na kuwaua. Wakati huo sheria za kimataifa hukuwa unazijua?Yaani israhell anatumia mpaka white phosphorus ambayo imepigwa marufuku ila bado tu unasema haijabanwa
Sasa kama unaona kutumia white phosphorus kulipo katazwa sio shida kwanini ulimgusia assadKama haikudhibotishwa, ilikuaje Assad akasaini mkataba wa kuharibu shehena ya tani za Sarin gas?
View attachment 2857533
White phosphorus sio chemical weapon kiuhalisia, chemical weapon gani inaweza tumika kama cover ya advancement ya jeshi, yani iwe chemical weapon alafu muitumie wenyewe kujifichia?
Cha msingi isitumike kwenye makazi ya watu ili wasiungue, sasa pale North Gaza kwenye magofu ndio unakata white phosphorus isitumike.
Kumbe kuna kufuata sheria za kimataifa. Sasa mbona ulishangilia Hamas kuvamia raia na kuwaua. Wakati huo sheria za kimataifa hukuwa unazijua?
Wewe unayedhani una akili kwanini usiwaambie hao Hezbollah waivamie Israel. Si wako wanapakana kabisa. Unadai vita haipiganwi kwa mdomo wakati hao Hezbollah wako wanatoa matamko kila siku, na mkuu wao Nasrallah alibwabwaja hamna kitu alilenga, akajiondoa kuhusika na mashambulizi na hakutoa support. Si waache kuchonga midomo waingie vitani uone kama hawapukutiki.Acha kuandika kwa mihemko na kuandika upuuzi we jamaa , vita haipiganwi kwa mdomo ,vita sio movies kama wajinga ninyi mnavyofikiri
Ni lini vita ilikuwa rahisi mpaka useme imekuwa ngumu siku hizi?Vita ni ngumu siku hizi ,mbinu zimeevolve na watu wamekuja na strategies tofauti , acheni story za abunuwasi hizo za Israel sijui kumpiga nani
Hezbollah mpaka tunakaribia Christmas ilikuwa imetangaza wapiganaji wake 117 wamekwishauwawa na Israel. Na hapo hawapo vitani, sasa kwanini usiwaombe Hezbollah waingie vitani na Israel tena kwa kutumia kisingizio cha wapiganaji wake 117 kuuwawa?Israel kawashindwa Hamas ndio unadhani itakuwa mterezo kwa battle proven and toughened Hezbollah
Unajua Israel imepigana vita ngapi tangu 1948?Unajua Hezbollah wamepigana vita ngapi tangia 2006 ?
Assad alikuwa na jeshi lake mwenyewe, Russia, Iran, makundi ya Wakurdi, Yazidi, Houthi na wengine hao Hezbollah. Mpaka sasa Assad hana umiliki wa nchi nzima. Sasa ajabu walilofanya Hezbollah ni nini?Hujui mchango wa Hezbollah kwenye ile Syrian war na kuulinda uongozi na serikali ya Asad WA Syria kuendelea kuexist ?
Kwahiyo leo hii mnasema aliyeisaidia Syria dhidi ya ISIS ni Hezbollah. Sio Iran na Russia tena? Msimamo huu mtaendelea nao au ikitokea Iran inapigana na Israel mtaubadili mseme Iran ndio ilipigana na ISIS.Unajua vita walizopigana na ISIS na waasi kule Syria na kufanikiwa kulisaidia jeshi lililokuwa karibuni kushindwa la Assad
Hamas hawana hadhi ya kupigwa nyuklia, hao ni vikojozi wanatakiwa wachapwe viboko tu.Sasa kama unaona kutumia white phosphorus kulipo katazwa sio shida kwanini ulimgusia assad
Hapa kilichoongelewa ni kwamba zimetumika silaha zilizopigwa marufuku haijalishi zilitumika wapi wala wapi
Hao walozipiga marufuku hawakuyajua haya unayoyasema wewe
Israhell washatishia mpaka kutumia nyuklia kwa hamas tu sijui unataka kutwambia nn 🤔
Wanawatifua magaidi wavaa kobazKwani hao israhell huko juu na kule baharini wanafanya nini?
Hata hamas wanawangojea magaidi wa israhell wakae kwenye 18 wawatifue ndio maana wanajificha huko chiniWanawatifua magaidi wavaa kobaz