Maoni ya Waziri mmojawapo ambaye hata sio wa ulinzi sio kauli wala msimamo wa serikali. Kwamba Bashungwa akidai ni shabiki wa Yanga tiyari serikali ya Tanzania ni shabiki wa Yanga?
Si mnasema Hamas wanashinda, mbona sasa mnalinganisha na Vietnam. Huo ndio ushindi wa Hamas
Nani kawalazimisha washikilie. Wameomba waachie mateka wote ila sharti kuwepo na ceasefire ya siku 20 hadi 30 na Israel haijakubali. Ingekuwa ina shida sana na mateka ingeishawarudisha wote.
Unalalamikia miezi mitatu wakati Israel imejipanga operation ya mwaka, hujafika nusu.
Na Israel imefanya 75% ya wakazi wa Gaza kuhama. Anayeumia zaidi nani
Israel inatengeneza magofu hapo Gaza. Wapalestina zaidi ya 20,000 wamefariki. Hamas makamanda ama wamekufa, ama wako mafichoni. Wapiganaji wanajisalimisha
Hamas wanashinda ila wanashinda njaa. Suala la kushinda vita kwao sahau
Bora ukaendelea kukaa kimia maana siku zinavyo enda ndio unazidi kudhihirisha kuwa ww ni mtupu kama kopo kichwani.
Netanyau baada ya vita kuanza aliteua baraza la vita na jukumu la baraza hilo ni kusimamia vita inayo endelea gaza hivyo waziri ana maamuzi ya moja kwa moja juu ya vita hiyo maana kila kinacho fanyika vitani ni razima kipitishwe na baraza hilo la vita.
Tunawalinganisha na Vietnam kwa sababu hata Vietnam walimshinda Marekani pamoja na Marekani kuuwa mamilioni ya raia wa Vietnam kwa kila aina ya silaha zikiwemo za sumu kama anavyo fanya Israel huko gaza.
Netanyau kipindi anaingiza majeshi gaza si aliutangazia ulimwengu kuwa anaenda kukomboa mateka na kuifuta Hamas na kamwe hatoongea na magaidi , ilikuwaje tena wakakaa na magaidi wakajadili hatima ya mateka na kukubali matakwa ya magaidi?
Hayo mapendekezo uliyo yaweka hapo sio hamas walio yaleta bali ni Israel wenyewe na Hamas wakaya kataa, hata jana Israel ilipendekeza mpango mwingine wa kusitisha mapigano kwa siku 15 ,waruhusu misaada bila kikomo wala masharti na waondoe majeshi yao kwenye baadhi ya maeneo ya gaza hasa yenye watu wengi na badala yake Hamas wawa achie mateka 35 na lenyewe likakataliwa na Hamas.
Unajiita mchambuzi wa kijeshi alafu huzijui hata kanuni za kivita ww jamaa una chekesha sana.
Yakuwa mauaji ya raia unayaweka kuwa moja wapo ya ushindi katika vita?
Hivi kuna jeshi hapa duniani lisilo weza kuuwa watu kiholela likimua,kwani JWTZ ikiamua sasa hizi warushe ndege jijini dar waanze kudondosha mabomu hovyo hovyo kwenye majumba ,stendi,masokoni mahispitalini, misikitini na makanisani si wanaweza kuuwa hata watu milion 1 kwa siku?
Hapa dunia hakuna jeshi ambalo lilisha sifiwa kwa kufanya mauaji ya watu ,jeshi la wanazi likiongozwa na Hitra liliuwa mamilioni ya watu lakini leo hii jeshi hilo halikumbukwi kama washindi wa vita na mashujaa bali wana kumbukwa na watu waovu na vichaa mpaka wajerumani wenyewe hawataki kabisa kujinasibisha na Hitra na jeshi lake.
Ushindi vitani huwa unapatikana kwa kutimiza malengo yaliyo kupeleka vitani na mpaka sasa Israel haijatimiza lengo hata moja na wala hayuko karibu kulitimiza.
Hivi hili jeshi teule ndo likumbane na battle ya kiume kama ya Maliupol si watakuwa wajihalishia na kuuawa kama nzi?
Kama kamanda msitaafu wa Marekani akihojiwa na CNN aliulizwa kuhusu pafomans ya jeshi la Israel huko gaza jibu lake lili kuwa ni hili na mm namnukuu: Japo natambua kuwa uwezo wa kijeshi wa Israel umejengwa kwenye misingi ya propaganda ili kuwatia uoga maadui zake lakini sikuwahi kuwaza iwapo jeshi la Israel ni dhaifu kiasi hichi kwa linacho kionesha huko gaza, sasa mbishie na huyo kamanda msitaafu.
Ww huna maamuzi yeyote yale ya kuamua ni nani atakaye shinda ww subiri muda utaongea na mshindi atapatikana ww kuwa na subira.