Israel mguu sawa kukiwasha tena dhidi ya Magaidi wa IRGC

Assessment umemalizika na targets wapo kwenye orodha. Wakianza soon utasikia kamanda Fulani ameuwawa
 
Assessment umemalizika na targets wapo kwenye orodha. Wakianza soon utasikia kamanda Fulani ameuwawa
Hatujasahau malengo makuu ni regime change iran iachane na program mbili ya nyuklia na ile ya makombora
Hata mukiua wairani wote kama hayo malengo hamujayafikia bado itakua imeshinda!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…