Israel Mwenda mechi 3 goli 1 Mutale mechi 20 bila goli

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Beki wetu Israel Mwenda amecheza Mechi 3 Tu za Ligi Kuu na Tayari amefunga Magoli sawa na ile Winga HekaHeka iliyofeli Ulaya..[emoji3]

Enjoy Life Mwamba na Wananchi wanakupenda sana[emoji1363]

Je, Mutale anafeli wapi wakuu anazidiwa na mtoto mdogo
1739621375294.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Beki wetu Israel Mwenda amecheza Mechi 3 Tu za Ligi Kuu na Tayari amefunga Magoli sawa na ile Winga HekaHeka iliyofeli Ulaya..[emoji3]

Enjoy Life Mwamba .. Na Wananchi wanakupenda sana[emoji1363]

Je mutale anafeli wapi wakuu.....anazidiwa na mtoto mdogoView attachment 3237010

Kule kwa Mangungu Kuna wakina mutale na kibu ni aina ya wachezaji machachari na sio hatari,,kibu maguvu mengi akili kisoda,,mutale mapepe mengi yasiyo na faida kwenye timu!
 
Beki wetu Israel Mwenda amecheza Mechi 3 Tu za Ligi Kuu na Tayari amefunga Magoli sawa na ile Winga HekaHeka iliyofeli Ulaya..[emoji3]

Enjoy Life Mwamba .. Na Wananchi wanakupenda sana[emoji1363]

Je mutale anafeli wapi wakuu.....anazidiwa na mtoto mdogoView attachment 3237010

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Nipo na mutale hapa anasema kibu anamroga anataka afunge yeye tu
 
Ila Simba wakati wa dirisha la usajili huwa wanapiga sana kelele! Sasa huyu Joshua Mutale wa sasa na yule wa kipindi cha usajili, unajiuliza ni mtu mmoja au ni watu wawili tofauti!!
Una maanisha bodi ya usajili inasajili Kwa mihemuko ya makolo

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Huyu Israel ni hazina ya Taifa huyu apewe mechi nyingi zaidi akuze kiwango chake zaidi ya hapa maana anaonekana anaweza kufanya vizuri zaidi akipewa nafasi.
 
Back
Top Bottom