Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
- Thread starter
- #21
Kuna siku atawapotezaLazima wamwamini si kawapeleka robo
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna siku atawapotezaLazima wamwamini si kawapeleka robo
Ni kweli...afu anajitumaHuyu Israel ni hazina ya Taifa huyu apewe mechi nyingi zaidi akuze kiwango chake zaidi ya hapa maana anaonekana anaweza kufanya vizuri zaidi akipewa nafasi.
Alikuwa club bingwaHuyo mwenda anashiriki mashindano gani makubwa ya kimataifa mpaka sasa?
Dogo anajua sana wacha acheze hapo maana wale jamaa kule wangempotezea kiwango chake..
Alicheza mechi ngapi klabu bingwa?
Kama mbili hiviAlicheza mechi ngapi klabu bingwa?
Akiwa tawini singida blackstars sio?
For sure
Vipi Mkude?Beki wetu Israel Mwenda amecheza Mechi 3 Tu za Ligi Kuu na Tayari amefunga Magoli sawa na ile Winga HekaHeka iliyofeli Ulaya..[emoji3]
Enjoy Life Mwamba .. Na Wananchi wanakupenda sana[emoji1363]
Je mutale anafeli wapi wakuu.....anazidiwa na mtoto mdogoView attachment 3237010
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mshaurini anyoe hiyo minywele, anaonekana kuwa very ugly.Beki wetu Israel Mwenda amecheza Mechi 3 Tu za Ligi Kuu na Tayari amefunga Magoli sawa na ile Winga HekaHeka iliyofeli Ulaya..[emoji3]
Enjoy Life Mwamba na Wananchi wanakupenda sana[emoji1363]
Je, Mutale anafeli wapi wakuu anazidiwa na mtoto mdogoView attachment 3237010
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hyo Ina symbolize ukatiliMshaurini anyoe hiyo minywele, anaonekana kuwa very ugly.
Simba ipo cafcc Kwa msaada wa kibu, Sasa sikuelewiKule kwa Mangungu Kuna wakina mutale na kibu ni aina ya wachezaji machachari na sio hatari,,kibu maguvu mengi akili kisoda,,mutale mapepe mengi yasiyo na faida kwenye timu!
Mkuu ...sema humu hatujuani lakini financially Mimi nina uwezo mkubwa kipesa ...kiasi Kwamba naweza finance timu ya Simba na pamba Kwa miaka 5 ..........+ Shahara zote za hizo timuMubaba tulia kwako..mbona unawapenda sanaa wanaume wa simba? Yani kila siku kuwaanzishia uzi huoni aibu??
Mwanaume anaemsema Kibu hajielewi kichwani au ni wivu tuu..Kibu wa kimataifa huwezi kujilinganisha nae...
Shauri yako kila siku Kibu ukilala Kibu ukiamka Kibuu...
Mara Mutale ukiamka mutale..
Hao wana maisha mazuri kuliko ww uliyepo mpimbwe... hahhahah kwanza hawakujui yani...wanachojua Simba inawapa kula yao na wanaipambania timu...
MsyuuuuuuuMkuu ...sema humu hatujuani lakini financially Mimi nina uwezo mkubwa kipesa ...kiasi Kwamba naweza finance timu ya Simba na pamba Kwa miaka 5 ..........+ Shahara zote za hizo timu
So humu tusichukuliane poa ....one day utakuja niona ....na utakubali
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Nitafute ule maisha ..... before too lateMsyuuuuuuu