Israel Mwenda mechi 3 goli 1 Mutale mechi 20 bila goli

Kule kwa Mangungu Kuna wakina mutale na kibu ni aina ya wachezaji machachari na sio hatari,,kibu maguvu mengi akili kisoda,,mutale mapepe mengi yasiyo na faida kwenye timu!
 
Nipo na mutale hapa anasema kibu anamroga anataka afunge yeye tu
 
Ila Simba wakati wa dirisha la usajili huwa wanapiga sana kelele! Sasa huyu Joshua Mutale wa sasa na yule wa kipindi cha usajili, unajiuliza ni mtu mmoja au ni watu wawili tofauti!!
Una maanisha bodi ya usajili inasajili Kwa mihemuko ya makolo

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Huyu Israel ni hazina ya Taifa huyu apewe mechi nyingi zaidi akuze kiwango chake zaidi ya hapa maana anaonekana anaweza kufanya vizuri zaidi akipewa nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…