Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 968
- 1,978
Tuambie ww Israel imeshinda kwa vigezo vip???Sasa hivi utasikia .....HAMAS tumeshinda vita hiii......
Ukishanga ya Marytina utayaona ya Faiza
Israel inajifanya itaimaliza HAMAS imeuahia kuua watu tu na akina mama lakini haijaokoa mateka hata mmoja sasa Hao ndio wanasema ooh Mosad inajua saanaa waogope Mosad hamna kitu.....Wamekwama Kupata watu oale pale Gaza hovyo sanaTuambie ww Israel imeshinda kwa vigezo vip???
Walifikiri vita pekee na kuua watu ndio ingekuwa suluhuMasharti ya makubaliano kati ya Israel na Hamas kwa ajili ya kusitisha mapigano huko Gaza na kuachiliwa kwa mateka yanataraji kukamilika.
Hatua hiyo inakuja wakati Rais wa Marekani Joe Biden akisema makubaliano yako ukingoni kutimia, na kwamba utawala wake unashughulikia suala hilo kwa haraka.
Afisa wa Israel pia aliliambia shirika la habari la Reuters kwamba mazungumzo yalikuwa katika hatua za juu, na makubaliano yanawezekana kwa saa, siku au zaidi.
Rais wa Marekani Joe Biden alizungumza na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu siku ya Jumapili, na Sheikh Tamim bin Hamad Al-Thani wa Qatar ambaye ni mpatanishi wa mazungumzo hayo siku ya Jumatatu.
Kumbe wale viongozi ni wakina mama?Israel inajifanya itaimaliza HAMAS imeuahia kuua watu tu na akina mama lakini haijaokoa mateka hata mmoja sasa Hao ndio wanasema ooh Mosad inajua saanaa waogope Mosad hamna kitu.....Wamekwama Kupata watu oale pale Gaza hovyo sana