Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Sema kweli!Walitaka tu kuharibu mifumo na vinu vya Nyuklia vya Iran. Ndiyo mambo ambayo kwao yalikuwa agenda kuu sana miaka yote. Wamefanikiwa kwa asilimia 90 plus.
Na pia walitaka kuitia Kilema Irani kivita au kisilaha. Na haya mambo hayakuanza leo au jana. Mipango yao ilikuwa okifanyika zaidi ya miaka kadhaa ago. Hawajakurupuka tu.
Sasa wanaona Iran siyo threat tena kwa Israel hasa suala la Nyuklia. Issue hapo ni Nyuklia tu.
Mkuu twende kwenye jukwaa la mapenzi ๐
Vijana wapaka poda na walamba lips wamevamia jukwaa la magaidi kazi ipo safari hii.Jukwaa la kimataifa safari hii limevamiwa na simps wa MMU