Tazama hapa chini support yenu kwa Hamas inavyowasaidia Wapalestina1. Jana ilikuwa siku mbaya sana kwa Israel na mshirika wake mkuu Marekani, kwenye Baraza kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA).
2. Kwamba kwa kauli moja lilipitishwa azimio lenye kuishutumu Israel wazi wazi na si mpigania uhuru HAMAS!
3. Kwa takwimu hizi za kura:
View attachment 2841057
4. Kwamba 10 wasiojitambua ni hawa:
View attachment 2841058
5. Na kwa maneno kuntu ya wachangiaji mbali mbali kama hivi:
View attachment 2841059
View attachment 2841060
6. Kwa hakika Israeli na vibaraka wake akiwamo Marekani (na VETO yake uchwara UNSC) wameumbuka!
Waswahili na Porojo ni pete na kidole. Hapa ndio utajua kwanini umaskini umetutafuna, kila jumba na kibaraza cha umbea na kupepeta mdomo. Yasiyo tuhusu tunayashadadia ya kwetu twaweka kando
Bure kivipi1. Yasiyo kuhusu? Huu si ndiyo sababu ya umaskini wa uswahilini?
2. Hii si ndiyo nyani haoni kundule?
3. Hii si ndiyo sababu hatupati katiba mpya?
4. Ndiyo sababu sasa anayelialia na nauli kupanda ni anayetaka kusafiri Leo?
5. Marin Luther alikuwa na maneno mazito kwako ndugu mburula:
View attachment 2841065
6. Kwamba UN ni porojo?
7. Wewe ni kutokea Lumumba ndugu?
Bure kabisa!
Bure kivipi
Pakstan wauza tende na kobazi.......wameukimbia uhindi na kuukumbatia uarabu 🤣🤣🤣🤣
Braza j hv tarehe 07 October hamas si walikua wanashangilia na raia wa gaza kuwaua wayahudi..Rejea kusoma tena ndugu pk
Maamuzi yoyote ya UN hayawezi kuwa na nguvu kama US haitaunga mkono kwa 100%.
Pakstan wauza tende na kobazi.......wameukimbia uhindi na kuukumbatia uarabu 🤣🤣🤣🤣
Braza j hv tarehe 07 October hamas si walikua wanashangilia na raia wa gaza kuwaua wayahudi..
????Mbona now wanalilia cease fire??
Slaughter of other settler regimes includes just like israel is doing, the united states of america which slaughtered millions of native americans, britain which slaughtered millions of native australians and new zealand maoris.
Slaughter of other settler regimes includes just like israel is doing, the united states of america which slaughtered millions of native americans, britain which slaughtered millions of native australians and new zealand maoris.
This mother of hypocrites just like other US presidents. May god arrest him before their kangaroo election next year.
NIMEKUULIZA TAREHE 07 OCTOBER SI WALIWAUA WAYAHUDI HUKU WANASHANGILIA??Jikite kwenye mada ndugu:
"HAMAS siyo gaidi, gaidi ni Israel."
Dunia imesema.