Israel na Marekani wapewa za uso UNGA

NIMEKUULIZA TAREHE 07 OCTOBER SI WALIWAUA WAYAHUDI HUKU WANASHANGILIA??
MBONA SASA WANALILIA CEASE FIRE????
AU RISASI ZIMEWAISHIA MKUU???
Swali la kijinga sana.Mauwaji ya oktoba 7 kila anayeoneshwa video anaipuuza.
Antonio Guatares alikwishasema shambulio lile halikutokea bila sababu.
 
1. Nyerere alijua Palestina mgogoro si dini.

2. Mandela alijua Palestina mgogoro si dini.

3. UN wanajua mgogoro si dini.

4. Nadhani mawazo ya Xi Jinping yanakuhusu sana:

5. Huna reference yoyote, hujishangai ndugu?
 
Swali la kijinga sana.Mauwaji ya oktoba 7 kila anayeoneshwa video anaipuuza.
Antonio Guatares alikwishasema shambulio lile halikutokea bila sababu.

Russia pia wako wazi:

Oct 7 ni sehemu ya struggle.
 
Palestina haihitaji maneno mengi kutoka UNGA, inahitaji sapoti ya vitendo

Sisi huku Bonyokwa tunasema..! UNGA ni watu wauwaji na waoga kiwango cha lami, wao wanapiga yowe huku Israel inawasha moto Gaza?

Upuuzi mtupu huu!
 
Naunga mkono hoja
 
Mwanzo wa ngoma ni Lele . heri nusu shari kuliko shari kamili. Safari ndefu huanza na hatua moja mbele.

Tumaanza kumu isolate gaidi kwanza. Hapo hata Iran, Hizbolla, Houthi wanarusha makombora justifiably.
 
Mie Sioni jipya, sababu UN is just a toothless dog, haina tofauti na ilivyokua league of nations. Maana matatizo mengi duniani yamesababishwa na hao hao walionzisha UN, hivyo Sioni jipya maana chochote wanachokiamua lazma kipite kwa kutumia mataifa yenye veto power.
 
Kwani vita alianza nani? yeye kateka na kuua kwa sana!
Mbona hili halilaaniwi?! acha haya magaidi ya hamas yachakazwe kwanza yashike adabu

Vita ilianza 1948 nani alianza? Gaidi mlaumiwa!
 
Waliopiga kura kwenye kijani humo ni waislam?

Kijani ni kura kukataa magaidi.

Aione mfia dini brainwashed MK254 kama wewe.
 
Kumtenganisha Hamas na ugaidi na kumvesha rasmi ugaidi mtu na Babu yake ni hatua njema sana.

Waliko wanatahayari. Vita vya Palestina no vya ukombozi. Kulitambua Hilo ni hatua kubwa sana mbele kisiasa.
 
kweli hii?
 
Kumtenganisha Hamas na ugaidi na kumvesha rasmi ugaidi mtu na Babu yake ni hatua njema sana.

Waliko wanatahayari. Vita vya Palestina no vya ukombozi. Kulitambua Hilo ni hatua kubwa sana mbele kisiasa.
Cjakupata mkuu ebu fafanua vizuri
 
Jikite kwenye mada ndugu:

"HAMAS siyo gaidi, gaidi ni Israel."

Dunia imesema.
hivi katika utandawazi wa sasa kuna mtu ana shaka na ugaidi wa Israel? hao ndio magaidi alafu wanawasingizia hamasi kwa kuwa vyombo vya media viko kwao?
 
Cjakupata mkuu ebu fafanua vizuri

Msingi wa resolution iliyopita ni post #2 kama ilivyosema Pakistan, Israel anafanya ugaidi Gaza.

Misingi hIyo hIyo inafahamika Oct 7 haikutokea hewani:

hIvi sasa wao ni Hawa Hapa:

Kwamba Israel dunia inamshangaa.
 
Last wk mafuriko yameua Manyara kuna hata pole mmepata toka Israel au Palestine? Lini mmewahi pewa hata pole na hao mabwana zenu?

Kwamba yao yanatuhusu ila yetu hayawahusu, hii ndo globalization sio?
 
Last wk mafuriko yameua Manyara kuna hata pole mmepata toka Israel au Palestine? Lini mmewahi pewa hata pole na hao mabwana zenu?

Kwamba yao yanatuhusu ila yetu hayawahusu, hii ndo globalization sio?

Mawazo yako ni duni sana ndugu ndiyo maana hata Katiba mpya nani atapigania? Kwani nani atakuwa alimaliza ya kwao hata akapiganie Katiba?

Martin Luther aliwatambua Mburula kama nyie:

Mawazo yako ni duni sana ndugu ndiyo maana hata Katiba mpya nani atapigania? Kwani nani atakuwa alimaliza ya kwao hata akapiganie Katiba?

Martin Luther aliwatambua Mburula kama nyie:

View attachment 2841396

We shangazi nakuuliza hivi, ni lini hiyo miarabu na miyahudi unayoiabudu ilikuwa concerned na mambo yenu? Jibu swali acha ngonjera.

Kwahiyo nyie mpaze sauti kwa mambo yao wakati wao hawana muda na nyie kama sio wendawazimu ni nini?
 
1. We Binti nakuuliza hivi Kwa ubinafsi wako hii nchi ingekuwa huru Leo?

2. Kama Nyerere angekuwa kama wewe angepigana kokote kusini mwa afrika?

3. Kama wewe nani atadai Katiba mpya?

4. Kama wewe si heri ya mbuzi ukimchinja utapata japo mchuzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…