Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 14,809
- 11,825
Umoja wa nchi huru Africa umeipatia kiti cha kudumu Taifa la Israel kama Mjumbe wake sawa sawa na Nchi za Umoja wa Africa katika baraza lake kuu japo haipigi kura... ikumbukwe Israel alishawahi kuwa Mwanachama hapo mwanzo Miaka 19 Iliyopita
Israel tayari inamahusiano na nchi zaidi ya 46 kati ya 55 za Africa ikiwepo ya mwisho kabisa Sudan ya Waarabu weusi, nadhani ndio imekuwa rahisi kwao kupata uanachama... Kumbuka Israel inakosekana katika Umoja wa nchi za Kiarabu ambazo zimeizunguka nchi hiyo.
Hamas Walia.
Nchi za Africa kwa kupenda dezo zinaweza hata kuialika iran iwe Mwanachama.
Why Israel from Middle East to become African union states au sababu ya Watu wa Asili yao waliopo nchi karibu zote za Africa
Ethiopia - ma Farasha,
Tanzania-Wairaqwi,
Zimbabwe-Demba
Cameroon
Nigeria,
Uganda,
Zimbabwe,
Namibia,
South Africa n.k