Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 14,809
- 11,825
Waziri wa mrengo wa kulia wa Israel amependekeza Kuirejesha Eneo la Sinai mikononi wa Utawala wa Israel.
Waziri wa siasa kali za mrengo wa kulia wa Israel alituma tena ujumbe wa tweet wa kupigia chapuo kuinyakua rasi ya Sinai,
Waziri wa Urithi wa mrengo wa kulia wa Israel Amichai Eliyahu ametuma tena ujumbe unaotangaza bidhaa zinazotaka kukaliwa kwa mabavu katika rasi ya Sinai nchini Misri.
Israel ambayo ilishawahi kulimiliki eneo lote la rasi ya Sinai na ililirejesha eneo hilo kufuatia makubaliano ya amani yaliyotiwa saini na Misri mwaka 1979. hadi leo hii, kufuatia Misri kukutwa na mahandaki lukuki kutokea Gaza hadi rasi ya Sinai na Makundi ya kigaidi ya Gaza huenda yanapitisha Silaha zao kutokea Sinai na kuna uwezekano wa Mateka wapo nchini Egypt Sinai. Lolote linawezekana Israel kuirejesha mikononi Sinai yote na kuifanya Egypt kubakia na eneo la Africa tu bila Asia.
Tweet hiyo inaonesha Shati linauzwa lenye lenye ramani ya nchi ya Israel ambayo ni pamoja na Ukingo wa Magharibi unaokaliwa, Gaza na Sinai.
"Chukua hili shati ukiwa safarini, na uwavishe watoto wote [hivi karibuni pia kutakuwa na saizi za watoto wadogo], iweke kwenye gari, wacha tujenge ufahamu: Watu wanadai tunakalia maeneo kimabavu! wakati wa kuyakalia ni sasa!”
Far-right Israeli minister retweets post promoting Sinai occupation
Israel’s far-right Heritage Minister Amichai Eliyahu has retweeted a post promoting merchandise that calls for the occupation of Egypt’s Sinai peninsula.
Israel returned the region following a peace agreement signed with Egypt in 1979.
The tweet calls for the purchasing of a shirt showing a map of Israel which includes the occupied West Bank, Gaza and Sinai.
“Take it on trips, dress all the children in it [soon there will also be sizes for little ones], put it on the car, let’s create awareness: The people demand an occupation! Occupation now!” read the original tweet promoted by Eliyahu.