Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naamini mafundisho yangu yanakuingia vizuri ila sababu ni Muslim the evil spirit haijakutoka so huwezi kukubali mbele ya uso wa dunia... Uabishana hadi na AllahHahaha wapi aliwambia nchi yao Egypt, Hijaz au Yemen hizo nchi zipo miaka sikuona zaidi ya kuwachukia kutoka Misri kuwapeleka Jerusalam, tena sio hao Waisrael wamchongo wa 1948 😄
matarajio bila mipango ni sawa SUFURIIIThubutuuu ! Misri wamenyamaza tu wanamtizima.Ajaribu kugusa huo ndo utakuwa mwisho wao Israel ! Zama zimebadilika sio kama 1948 muda utaongea.Atapigwa GAZA, Lebanon na sasa Egypt mbona ndo mwisho wa Taifa la Israel !!
Mnasemaga hivi hivi hata kwenye vita ya iraq kisha baadae mnaanza kuonesha picha za vifoThubutuuu ! Misri wamenyamaza tu wanamtizima.Ajaribu kugusa huo ndo utakuwa mwisho wao Israel ! Zama zimebadilika sio kama 1948 muda utaongea.Atapigwa GAZA, Lebanon na sasa Egypt mbona ndo mwisho wa Taifa la Israel !!
hatuoni kelele za ukraine wanaopigana mwaka wa 3 huu , ila nyiny miez tu mshapost mpk watoto na mabibiHaijalishi hawavai combat lakini wamewahenyesha tunaelekea mwezi wa ngapi sasa hebu nikumbushe? Hadi walianza kulalamika Marekani kachelewesha kuwapelekea silaha. Mgambo wako vizuri si kidogo
Ukraine ni nchi ina jeshi na support ya nchi kubwa. Hamas ni wanamgambo. Mjeda akipigwa na mjeda mwenzake si story kubwa kama mjeda kuhenyeshwa na mgamboh
hatuoni kelele za ukraine wanaopigana mwaka wa 3 huu , ila nyiny miez tu mshapost mpk watoto na mabibi
Mimi nilisha kuambia mtu anaye sema Mungu ana mtoto au Yesu ana mtoto akapime akili zake vizuri, hawezi nishinda akili mimi.Naamini mafundisho yangu yanakuingia vizuri ila sababu ni Muslim the evil spirit haijakutoka so huwezi kukubali mbele ya uso wa dunia... Uabishana hadi na Allah