So hata kama hawanijui ndio nisisome au nisilete news? mbona upo kama wale wanaoitwa wacha wii.. una chuki hadi hutaki kuona news za israel... Its is true Waislam wanazaliwa na chuki moiyoni mwao na watakaofanikiwa kuingia peponi watafanyiwa operation kuondoshwa chuki kwenye mioyo yaoKwahiyo mkuu, umeacha wosia siku ukifa ukazikwe ndani ya taifa la mungu! Sio kwa mahaba hayo, wakati mazayuni hawajui kama kuna mtu duniani anaitwa mlaleo
Kwahiyo panya road wakiua mtu mafichoni waliko nayo ni vita. Hamas ishafutwa wamebaki hasira kali wafiwa wanajilipua kujitoa mhanga. Hakuna unapoenda eti utakuta ofis au kambi hamas wapo vitaniKwa hiyo Israrl inapigana yenyewe na askari wake sometimes wanajiua wenyewe.
Huwezi kuona mkuu maana you only see what your eyes want to see
Kumbe, mpaka wanaomba na kulalamikia US kachelewesha silaha kumbe wanapigana na panya road. Basi sawa.Kwahiyo panya road wakiua mtu mafichoni waliko nayo ni vita. Hamas ishafutwa wamebaki hasira kali wafiwa wanajilipua kujitoa mhanga. Hakuna unapoenda eti utakuta ofis au kambi hamas wapo vitani
ukizungumzia vita lazima utumie usomi japo kidogo na sio shabiki maandazi.. kwanza Tambua ni vita vya aina gani? unaopigana nao ni kina nani, na uwanja wa vita upoje..Kwa sasa ni kitu ambacho hakiwezekani zama zimebadilika. Kama mgambo wanamtoa jasho kwa asa hawezi kupigana na nchi hizo zote siku hizi vita imebadilika hadi vinchi vidogo vinawadindia wakubwa.
Israel for now ana mabomu makubwa makubwa tu ya kupiga aneo size ya uwanja wa mpira akitumia ataua na Mateka . sometime use brain japo kiduchu tuKumbe, mpaka wanaomba na kulalamikia US kachelewesha silaha kumbe wanapigana na panya road. Basi sawa.
Haijalishi hawavai combat lakini wamewahenyesha tunaelekea mwezi wa ngapi sasa hebu nikumbushe? Hadi walianza kulalamika Marekani kachelewesha kuwapelekea silaha. Mgambo wako vizuri si kidogoukizungumzia vita lazima utumie usomi japo kidogo na sio shabiki maandazi.. kwanza Tambua ni vita vya aina gani? unaopigana nao ni kina nani, na uwanja wa vita upoje..
Israel anapigania kuokoa mateka na kuwamaliza magaidi.
Magaidi hawavai kabisa kombati za kijeshi kujitofautisha na raia.
so IDF akiua madia zenye lengo same na magaidi wanatangaza raia wameuliwa so vyombo husika vya kimataifa huja juu.
so Israel anapigana na adui wa aina mbali mbali, uzuri anwapuuzia na anaweka record vizuri na askari wake akikosea step anamuadabisha yaani ni kama kazi tu na hakuna uongo kwani uongo hauchanganyiki na ukweli.. now sasa kila mtu anajua Arabs ni waongo tena hawafai.. nchi kibao zimechoshwa kudanganywa kama watoto.. kuna maraisi making yalidiriki kuikemea Israel ila walipojua arabs ni waongo wamewapuuzia hao Hamas na aljazeera wao.
So Israel bila mateka angesambaza Gaza kuwa uwanja wa kandanda.. ndio maana kule Lebanon wanajua hakuna mswalie mtume kazi ikianza ni magofu tu yatabakia.. Hamas wanajua wakiachia mateka nini kitawakuta hivyo vita inaenda hivi hivi mdog mdogo..
Chakula anawapa maji anawapa matibabu mnapata kujisifia baada ya kushiba ni ruksa huku kichapo kinaendelea.. Niambie Jeshi gani linaweza kukupa uhuru wote huu? then unakuja umebana pua eti miezi mingapi mbona hawaokoi mateka.. Israel only jeshi lake ndilo lenye huruma.. ila afer war Hamas sio watu wa kusamehewa na yeyete mpenda amani. Labda wewe na pro hamas
Na hayo mabomu lakini bado vita haiishi anapambana na mgambo.Israel for now ana mabomu makubwa makubwa tu ya kupiga aneo size ya uwanja wa mpira akitumia ataua na Mateka . sometime use brain japo kiduchu tu
View attachment 3033647
Gaza: Israel dropped hundreds of 2,000-pound bombs, analysis shows | CNN
Mnataka hivi vita iishe siku tatu tu? Israel ndio imekatazwa hivi ila Lebanon itakuwa ni ruksa
Masikini hio map ilikuwa ipo lini hebu tufahamishe Israel si juzi tu walidokoa ardhi ya wapalestina leo wananchi kubwa hivyo 😆Waziri wa mrengo wa kuria wa Israel amependekeza Kuirejesha Eneo la Sinai mikononi wa Utawala wa Israel.
Waziri wa siasa kali za mrengo wa kulia wa Israel alituma tena ujumbe wa tweet wa kupigia chapuo kuinyakua rasi ya Sinai,
Waziri wa Urithi wa mrengo wa kulia wa Israel Amichai Eliyahu ametuma tena ujumbe unaotangaza bidhaa zinazotaka kukaliwa kwa mabavu katika rasi ya Sinai nchini Misri.
Israel ambayo ilishawahi kulimiliki eneo lote la rasi ya Sinai na ililirejesha eneo hilo kufuatia makubaliano ya amani yaliyotiwa saini na Misri mwaka 1979. hadi leo hii, kufuatia Misri kukutwa na mahandaki lukuki kutokea Gaza hadi rasi ya Sinai na Makundi ya kigaidi ya Gaza huenda yanapitisha Silaha zao kutokea Sinai na kuna uwezekano wa Mateka wapo nchini Egypt Sinai. Lolote linawezekana Israel kuirejesha mikononi Sinai yote na kuifanya Egypt kubakia na eneo la Africa tu bila Asia.
Tweet hiyo inaonesha Shati linauzwa lenye lenye ramani ya nchi ya Israel ambayo ni pamoja na Ukingo wa Magharibi unaokaliwa, Gaza na Sinai.
"Chukua hili shati ukiwa safarini, na uwavishe watoto wote [hivi karibuni pia kutakuwa na saizi za watoto wadogo], iweke kwenye gari, wacha tujenge ufahamu: Watu wanadai tunakalia maeneo kimabavu! wakati wa kuyakalia ni sasa!”
View attachment 3032792
Far-right Israeli minister retweets post promoting Sinai occupation
Israel’s far-right Heritage Minister Amichai Eliyahu has retweeted a post promoting merchandise that calls for the occupation of Egypt’s Sinai peninsula.
Israel returned the region following a peace agreement signed with Egypt in 1979.
The tweet calls for the purchasing of a shirt showing a map of Israel which includes the occupied West Bank, Gaza and Sinai.
“Take it on trips, dress all the children in it [soon there will also be sizes for little ones], put it on the car, let’s create awareness: The people demand an occupation! Occupation now!” read the original tweet promoted by Eliyahu.
Kiufupi Netanyahu amepanga kukaa Gaza for Two years.. au zaidi wale wote waliovamia wapo on record artificial intelligence ishawaweka kwenye data base it is a matter of time tu watanaswa,Haijalishi hawavai combat lakini wamewahenyesha tunaelekea mwezi wa ngapi sasa hebu nikumbushe? Hadi walianza kulalamika Marekani kachelewesha kuwapelekea silaha. Mgambo wako vizuri si kidogo
Hiyo ndio Ramani aliyotoa Allah Kumpa Nabii Mussa akamuambia Mussa awaambie Watu wake wasiiachie hiyo ardhi apigane hadi kiama.. Allah knew nyie mtawachukia Watu wake sababu mmezaliwa na chuki zimejaa...Masikini hio map ilikuwa ipo lini hebu tufahamishe Israel si juzi tu walidokoa ardhi ya wapalestina leo wananchi kubwa hivyo 😆
Kondoo watabaki kuwa kondoo tu
Wenzio wanalia na Hamas kesha rekebisha ujinga wake anataka vita isimame IDF wanagonga chupi huko Rafah na centre % chache imebakia kazi iishe PO zimekuwa nyingi kwa HamasHaijalishi hawavai combat lakini wamewahenyesha tunaelekea mwezi wa ngapi sasa hebu nikumbushe? Hadi walianza kulalamika Marekani kachelewesha kuwapelekea silaha. Mgambo wako vizuri si kidogo
Nikajua kuna ngome israel wanataka waingie hamas wamewazingua kumbe ni hao vibaka wanaojificha kama fukoKumbe, mpaka wanaomba na kulalamikia US kachelewesha silaha kumbe wanapigana na panya road. Basi sawa.
Vita itapiganwa wapi wakati pote gaza magofuWenzio wanalia na Hamas kesha rekebisha ujinga wake anataka vita isimame IDF wanagonga chupi huko Rafah na centre % chache imebakia kazi iishe PO zimekuwa nyingi kwa Hamas
Miezi nane unapigana na vibaka na silaha unaomba hadi kulalamika zinachelewa... Kweli vibaka ni hatari sana. Hata kibiti haikiwa hivi. Kama vibaka tu wanasumbua hadi unalalamika umecheleweshewa msaada wa silaha ukipigana na jeshi lingine si utalia kabisa.Nikajua kuna ngome israel wanataka waingie hamas wamewazingua kumbe ni hao vibaka wanaojificha kama fuko
Hizi story za kulia tumeanza zisikia toka mwaka jana but aluta continua mpaka leoWenzio wanalia na Hamas kesha rekebisha ujinga wake anataka vita isimame IDF wanagonga chupi huko Rafah na centre % chache imebakia kazi iishe PO zimekuwa nyingi kwa Hamas
hiv hii ndo ilikuwa vita ya mwisho kati ya haya mataifa mawili?1973 IDF waliangukia mateka wa Egypt,sasa waache wajichanganye.
Egypt ipo kimya kwasababu ya ukibaraka wa Elsisi,Asa waache wajichanganye Elsisi ageuze kibao.
= kuliaWaziri wa mrengo wa kuria wa Israel amependekeza Kuirejesha Eneo la Sinai mikononi wa Utawala wa Israel.
Waziri wa siasa kali za mrengo wa kulia wa Israel alituma tena ujumbe wa tweet wa kupigia chapuo kuinyakua rasi ya Sinai,
Waziri wa Urithi wa mrengo wa kulia wa Israel Amichai Eliyahu ametuma tena ujumbe unaotangaza bidhaa zinazotaka kukaliwa kwa mabavu katika rasi ya Sinai nchini Misri.
Israel ambayo ilishawahi kulimiliki eneo lote la rasi ya Sinai na ililirejesha eneo hilo kufuatia makubaliano ya amani yaliyotiwa saini na Misri mwaka 1979. hadi leo hii, kufuatia Misri kukutwa na mahandaki lukuki kutokea Gaza hadi rasi ya Sinai na Makundi ya kigaidi ya Gaza huenda yanapitisha Silaha zao kutokea Sinai na kuna uwezekano wa Mateka wapo nchini Egypt Sinai. Lolote linawezekana Israel kuirejesha mikononi Sinai yote na kuifanya Egypt kubakia na eneo la Africa tu bila Asia.
Tweet hiyo inaonesha Shati linauzwa lenye lenye ramani ya nchi ya Israel ambayo ni pamoja na Ukingo wa Magharibi unaokaliwa, Gaza na Sinai.
"Chukua hili shati ukiwa safarini, na uwavishe watoto wote [hivi karibuni pia kutakuwa na saizi za watoto wadogo], iweke kwenye gari, wacha tujenge ufahamu: Watu wanadai tunakalia maeneo kimabavu! wakati wa kuyakalia ni sasa!”
View attachment 3032792
Far-right Israeli minister retweets post promoting Sinai occupation
Israel’s far-right Heritage Minister Amichai Eliyahu has retweeted a post promoting merchandise that calls for the occupation of Egypt’s Sinai peninsula.
Israel returned the region following a peace agreement signed with Egypt in 1979.
The tweet calls for the purchasing of a shirt showing a map of Israel which includes the occupied West Bank, Gaza and Sinai.
“Take it on trips, dress all the children in it [soon there will also be sizes for little ones], put it on the car, let’s create awareness: The people demand an occupation! Occupation now!” read the original tweet promoted by Eliyahu.
Ndio.hiv hii ndo ilikuwa vita ya mwisho kati ya haya mataifa mawili?
Hahaha wapi aliwambia nchi yao Egypt, Hijaz au Yemen hizo nchi zipo miaka sikuona zaidi ya kuwachukia kutoka Misri kuwapeleka Jerusalam, tena sio hao Waisrael wamchongo wa 1948 😄Hiyo ndio Ramani aliyotoa Allah Kumpa Nabii Mussa akamuambia Mussa awaambie Watu wake wasiiachie hiyo ardhi apigane hadi kiama.. Allah knew nyie mtawachukia Watu wake sababu mmezaliwa na chuki zimejaa...
Quran 5:21 Enyi watu wangu! Ingieni katika nchi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekuandikieni. Wala msirudi nyuma, msije mkawa wenye kukhasirika.
Wana wa Israel wameandikiwa ardhi hiyo wewe upo kiabakali unapinga wewe ni kafir mposhi hahahaha.. yaani Quran tu natumia